Tulisema bora tutawaliwe na Dictator

Tulisema bora tutawaliwe na Dictator

Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
mpaka chadema was machukua lowasa wakisema japo ni mwizi lakini anamaamuzi NCHI HII INATAKA MTU MWENYE MAAMUZI MAGUMU BHANA

Mungu katujibu maombi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom