KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,943
- 9,457
Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.