Tulisema bora tutawaliwe na Dictator

Tulisema bora tutawaliwe na Dictator

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
 
Isemee nafsi yako.
 
We hapo Tangibovu muda huu umeshaamka na kuwaza mambo ya dikteta. Ama kweli vyuma vimekaza ....
 
Dictator Wa plastic..uzuri uwe dictator hata upstairs ziwemo..jamaa he's not smart at all..hewa tupu..hata thinking na anavo behave unajua kbs MTU hiyu kuna walakini
 
kama ndo hivi bado hatujajua kuchagua viongozi
 
Dikteta akiwa na akili mbovu ni zaidi ya dikteta
 
We hapo Tangibovu muda huu umeshaamka na kuwaza mambo ya dikteta. Ama kweli vyuma vimekaza ....
Acha uboya unaparamia watu wewe unanijua sana??aliyekwambia naishi Africa nani mimi nikaishi katika bara kila kukicha nivita!
 
Wauza madawa ya kulevya, vyeti feki, wapigaji na majangili wanamchukia Magufuli mpaka basi hahaha mtaisoma number hatunywi sumu hatujinyongi
 
Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
Kwani mkuu katika vyote ulivyotaja hapo kuna sehemu hao watanzania walisema wanataka dikteta ili aje kushughulikia wapinzani wake kimawazo na kimsimamo?

Waliotaka dikteta walitaka mtu mwenye maamuzi ya akili kushughulika na hayo mambo uliyotaja hapo, je mmempata?
 
We mwenyewe akili yako kisoda utamuelewa kweli great thinker JPM? Kuzakuza kwanza akili yako sisimizi hawezi kumchunguza tembo
 
Rais yeyote ni mbaya kuliko aliyepita na amin nawaambia Magufuli ni Bora kuliko yule ajaye. Ni hulka ya mwanadamu kutoridhika hasa watanzania
 
Mungu twaomba iponye tanzania yetu tumegungdua bila wewe hatuwezi tusaidie tutoke hapa tulipo tunakuhitaji wewe
 
Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
You are wrong mkuu,JPM sio dictator, you have taken the words of fools out of context.Fools nikiwa na maana ya watu waliotumbuliwa kwa sababu moja au nyingine.Mafisadi hawampendi JPM kwa sababu wizi wao umekuwa blocked, kwa hiyo maisha hao yana hang in the balance.Watu hawa wanachojaribu kufanya ni kum-discredit rais by whatever means possible, ili aonekane kwamba hafai,but believe me,JPM is the best President this country has never had.
 
Watanzania tulisikika tukitamani nchi kutawaliwa na dictator!Kisa kuchoshwa na siasa za Rais mstaafu kuwa awawajibishi watendaji,maliasili zinaporwa mchana kweupe,rushwa imekithiri!Natukawa tukiomba tupate dikiteta angalau kwa kipindi cha muongo mmoja!
Sasa Mungu katupa tulichokitaka tunalia nini??acha tunyoshwe.
Una maanisha raisi ni dictator??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom