Tulipowafikisha..

Hii ni copy and paste kutoka kwa wazazi...

Wazazi wnatakiwa makini na wayafanyayo mbele ya watoto wao. Too sad, especially for the binti nimeiagine akishafika la tatu au la nne atakuwa na hali gani.
 
Yaani ghafla nimepata sononi moyoni. Kwa mara nyingine tena nimekabidhi malezi ya mwanangu katika mikono yake Mungu. Pia nikimuomba akanijaalie kuwa mama bora kwa kizazi changu
Aaamen
 
Hii ni copy and paste kutoka kwa wazazi...

Wazazi wnatakiwa makini na wayafanyayo mbele ya watoto wao. Too sad, especially for the binti nimeiagine akishafika la tatu au la nne atakuwa na hali gani.
Niliwahi kuwafuma watoto... Yani kabinti kako katikati ya vitoto viwili vya kiume... Anapigwa mdondo... Wote walikuwa under 5... Kuja kumuuliza akasema alimuona baba na mama na kwenye sinema
 
Hii ni CCTV au kuna mtu anarekodi? Huyo boy anaonesha kama kuna mtu anarekodi kwa jinsi anavyoangalia upande wa kamera.
Kuna uwezekano kuwa huu ni udhalilishaji wa msichana wa kazi.
Hii ni pure recording... Ni kama camera most likely ya simu imetegwa mahali... Na hako katoto ka kiume hakana hakika sana kama ni mtego ama la
 
Niliwahi kuwafuma watoto... Yani kabinti kako katikati ya vitoto viwili vya kiume... Anapigwa mdondo... Wote walikuwa under 5... Kuja kumuuliza akasema alimuona baba na mama na kwenye sinema
Wazazi kutofanya faraghani na vilevile matokeo ya "teke linalokujia" ndiyo hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ