Tulipofikia

they do everything for theirself...! it seems bad to us but good for them! why..?
if your not tought by people or your own mind,world will do it.
Duh! Unazungumza lugha ngapi kwa ufasaha,hayo labda ni maigizo.
 
Hebu kambieni hako kabwana halusi kaje nikaoe nikape mikandamizo yamaana muone kama katajifanya kabwana halusi tena
 
Hebu kambieni hako kabwana halusi kaje nikaoe nikape mikandamizo yamaana muone kama katajifanya kabwana halusi tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] haya mjumbe hauwawi
 
Aah

Ss mbona cku zote uniambiagi eti?
ha ha ha! mara nyingi huwa naongeaga kwa mafumbo! kama ni hilo nishakwambia zaidi ya mara elfu kumi! we ni zaidi ya Monalisa!
 
ha ha ha! mara nyingi huwa naongeaga kwa mafumbo! kama ni hilo nishakwambia zaidi ya mara elfu kumi! we ni zaidi ya Monalisa!

Mshana umeanza nimekwambia kaa mbali nimempataje kama me domo zege? me situmii TUNGURE kama ww!😀
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…