Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Wengi wanalaumu kitendo cha kuachwa nahodha wa zamani Nadi Haroub kimesababisha kufungwa mchezo wa jana mimi nasema yalikua matokeo ya mchezo tu na tujenge imani na upendo kwa manahodha wanaopewa nafasi hizo kwani hakuna nahodha atadumu milele kwa TIMU YA TAIFA
Na maoni yangu piwa uwatendee haki waliotumikia nafasi zao kwa mechi ya jana kwani naamini walicheza vizuri tu wakivuja jasho kwa ajili ya timu ya Taifa.........Tulivyopigwa 7 nahodha alikua nani?
Nawakumbusha pia kwamba wakati tunafungwa 3-0 Misri nahodha alikua Cannavaro
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa mabao 3 - 0 na wenyeji Misri.
Tanzania: Deogratias Munish, Shomari Kapombe, Oscar Joshua, Aggrey Morris/Salim Mbonde, Nadir Haroub, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto/Saimon Msuva, Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata, Amri Kiemba/Frank Domayo.