Tuliozaliwa leo tuungane humu kujipongeza

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,371
2,377
Tarehe kama ya leo wazazi wangu
ImageUploadedByJamiiForums1460787633.508001.jpg
walinileta kuanza safari ya ulimwenguni
Hadi hapa nilipofikia nina kila sababu ya kumshukuru muumba kwa kusema asante kwa yote aliyonitendea.....
ImageUploadedByJamiiForums1460787658.792573.jpg
 
Hongereni nyote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo....

Kila la heri katika kuendelea na makuzi yenu,

Inspiration zenu

Ambitions zenu na

Dreams zenu zitimie
 
Back
Top Bottom