STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Mkuu nahisi kama hme ni visiwani, maana huo msemo naukumbuka tangia niko mdogo visiwaniCha kuokota si cha kuiba...
Mkuu nahisi kama hme ni visiwani, maana huo msemo naukumbuka tangia niko mdogo visiwaniCha kuokota si cha kuiba...
Mkuu yamakagashi[emoji23][emoji23][emoji23]Dodo ni hela tu hamna mtu ashamtomba hata Beyonce ?
kuna watu hua wanafikiri kwa kutumia mkagali aiseeDodo ni hela tu hamna mtu ashamtomba hata Beyonce ?
Mi binafsi mara kadhaa tangu kwetu kijijini wenye maduka wamekuwa wakinirudishia chenji zaidi,nilipokuwa mdogo nilidhani wananitega,ila hata nilipohama ktk harakati za maisha hilo jambo likaendelea,hadi makondakta wa daladala vilevile wananizidishia mara kadhaa.
Nashukuru Mungu sijawahi ondoka na chenji ya mtu
Sawa lakini kiimani haiko sawa hiyoKwenye mobile money TCRA walisha twambia tusirudishe[emoji1787]
Pole sanaAliye kuhubiria kakupotosha..[emoji1787]
Siyo uoga ila siwezi kuondoka na mali/fedha isiyo yanguAcha woga.. Ivi unajua hata Rais Magufuli aliwahi okota dodo pale bandarini la vichwa vya train.. umewabi sikia amerudisha.[emoji1787]
duh mkuu uliokote mbele then ukapigwa nyumaUkifurahia ulichokiokota ujue huko aliyepoteza analalamika au hata anamwaga chozi.........niliwahi kuokota sh elfu 42, nikafurahi sana, lakini baada ya mwezi mmoja hivi nilikuja kupoteza sh laki 2 na elfu 80........machungu yake yake sitaki kabisa kuyakumbuka, sasa hivi nikiokota hela basi nitakaa eneo lile hata kwa nusu saa ili nikiona mtu anakuja huku anaangzaangaza chini najua ndio mwenye mzigo
mkuu, pesa hairudishwi labda kitu kingine.Ukizidishiwa chenji na ukajua ila hukuirudisha,huo ni wizi.
Kwa mujibu wa nani au kwa andiko gani?mkuu, pesa hairudishwi labda kitu kingine.