kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,435
- 4,997
[emoji23][emoji23]Nyie kutaneni lakini baada ya mkutano we nu mkijichanganya kwenye anga za wahuni lazima mtapeliwa tena
Binafsi nahsi kila mtu alishatapeliwa.Dokta John hajawahi kutapeliwa
Dokta John hajawahi kutapeliwa
huyu ndio anayeongoza kwa kupigwaDokta John hajawahi kutapeliwa
Hakuna msukuma yeyote ambaye hajawahi kutapeliwa hapa Tanzania [emoji1241]
Sent using IPhone X
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna msukuma yeyote ambaye hajawahi kutapeliwa hapa Tanzania [emoji1241]
Sent using IPhone X
LaLugo?
Unahitaji kuwa smart na focused kwa ishu zako. Ukishaingia kwa business yeyote ile ambayo hujaiplani tarajia lolote.Huyu jamaa alinichekesha sana. Kwa staili hii yoyote angeweza kupigwa.View attachment 1395497
Sent using [Iphone XS Max]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nilitapeliwa na wauni arusha walinikaribisha mjini kwa kweli nilipita mtaa Fulani nikakuta kuna mnada wa vitu mbali mbali kama laptop, tv ,simu na kadhalika kwa haraka haraka nikaona Samsung s9 nikauliza hii bei gani mi nikakata ofa 50k ikaanza kupigwa mnada Mara kunamwingine kapanda mpaka 120k mi nikaamuwa kufunga hesabu nikatamka 150k Mara baada ya kutamka 150k nikaskia top 150k kumaanisha Mimi ndio nimeshinda nikachukua chaja na simu na kilakitu kufika getto nikaweka simu kwenye chaji ikalala kabisa kesho yake nawasha simu ,simu inawaka na kwenye kioo yakatoka maandishi ya neno ( princess ) nikajua hapa nishaliwa nikatafuta demu nikamwonga tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sentence ya mwisho ina ukweli asilimia 1000 na 100[emoji24][emoji23]Dah kuna Mmasai mmoja aliwahi kunikuta kistoni (kijiweni) nimechill enzi hizo ndio nipo o'level likizo. Akanikuta pale akaanza kunitangazia dawa zake mara mkuyati, lodwaa mara mkongoraa n.k nikamwambia "ndauwoo ashenale sitaki kitu leo" (rafiki asante sana sitaki kitu leo).
Mara akachomoa dawa fulani akaniambia hii ni kwaajili ya "Ndito" (Wasichana) akaniambia nimpe buku alafu nikanunue baby care ile ndogo akanichanganyia ile dawa na mafuta kisha akaniambia kila nikioga tu nijipake fresh kisha ndito yoyote ninayemtaka nikitupia vocal lazima anase. Yani haruki.
Masai kasepa zake kashanikamua buku yangu nikasogea home nikapiga maji fasta nikajipaka wese fresh lenye dawa kisha nikatoka rodi kupiga misele. Sasa kuna kamanzi flani nilikua nakatamani kitambo siku hiyo nikawa na confidence kinyama kumuona nikamtupia vocal kweli alizingua zingua ila baada ya siku mbili tatu akakubali. Nikajua Masai noma. Siku kapita pale nikampa mrejesho na kumuongezea buku ingine.
Basi nikajaribu bahati kwa Ndito mwingine alikuwa yeye yupo A'level nikaambulia matusi tu. Confidence ikashuka kila nilipotamani kutongoza nikashindwa. Nikajua tu yule masai alinitapeli alicheza tu na akili yangu. Kumbe ile dawa haifanyi kazi ila tu ilisaidia kuni boost confidence.
Siku nyingine anapita ananiuliza kama aniongezee nikamwambia inatosha nilishapata demu na sitaki mwingine. Asijue nilisanuka kuwa alinitapeli.
Mnaoendaga kwa waganga mjue tu wanacheza na psychology zenu wala hawana utaalamu wowote.
Dokta John hajawahi kutapeliwa