Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

Ooh yes! Tulisoma na dada mmoja chuo alivua Pete ya ndoa akiwa second year na akabadili dini akaolewa na jamaa mwingine.
Mumewe wa ndoa alikuwa anakuja na mtoto pale hostel mabibo yule dada hataki hata kuwaona.

Walipo maliza chuo wakazaa motto mmoja ila Sikh moja isiyo na Nina yule second husband alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana dada akabaki mjane

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaeee watu hawataki utani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa.

Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi.
Tukutane hapa!!
Nitaanza na mimi binafsi.
Naomba niweke wazi mkuu,kuna mambo hupaswi kulaumu,maana tangu awali umekiri hukuwa na mzuka na huyu manzi hivyo hata mwisho wenu ulisababishwa na wewe.maana kama ungekuwa na nia hayo yote yasingetokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa.

Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi.
Tukutane hapa!!
Nitaanza na mimi binafsi.

Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006!

Umeonyesha maamuzi ya kiume mkuu, mwanamke msiri ni wa kumuogopa kama ukoma.
 
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa.

Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi.
Tukutane hapa!!
Nitaanza na mimi binafsi.

Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006!
Nilikuwa na demu wangu yeye alikuwa anasoma kozi ya miaka mitatu!
Na wakati huo alikuwa mwaka wa kwanza tu!!
Huyo angekufaa kuwa mke sema kilichowatenganisha ni umbali.Jitahidi umsomeshe mwanao na mama yake mchukulie kama mzazi mwenzio tu.Ila hakikisha mtoto anajua kuwa we ndio unamsomesha
 
Ooh yes! Tulisoma na dada mmoja chuo alivua Pete ya ndoa akiwa second year na akabadili dini akaolewa na jamaa mwingine.
Mumewe wa ndoa alikuwa anakuja na mtoto pale hostel mabibo yule dada hataki hata kuwaona.

Walipo maliza chuo wakazaa motto mmoja ila Sikh moja isiyo na Nina yule second husband alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana dada akabaki mjane

Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwaje zaidi mkuu?
 
Akili ya mwafrika bwana! Wachache mno wanaojitambua.....

Wewe na mama yako mlikutana wote akili sawa....mama anakusapoti ujinga umuowe huyo mdada while anajua mmeshazini n still mukawa mnaendelea kuzini na kumzalisha kabla hamujaowana na mama anasapoti!!! Wazazi wengine ni chanzo cha kuwaharibu na kuwapeleka pabaya watoto wao.

Na ujinga mwingine, eti unamlipia ada wakati hamujaowana na wala hujui kama atakuja kuwa mkeo...hii akili ya wapi mzehe! Waafrika bwana! Haya umepata faida gani! Vijana wa chuo nyie, ndio maana mnazidiwa maarifa na ambao hawajaenda shule, na wanajua kuishi na wanawake.
 
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa.

Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi.
Tukutane hapa!!
Nitaanza na mimi binafsi.

Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006!
Dah ushuhuda wako unafundisho kubwa sana.
 
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa.

Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi.
Tukutane hapa!!
Nitaanza na mimi binafsi.
Ushuhuda wako unafundisho kubwa
 
Akili ya mwafrika bwana! Wachache mno wanaojitambua.....
Wewe na mama yako mlikutana wote akili sawa....mama anakusapoti ujinga umuowe huyo mdada while anajua mmeshazini n still mukawa mnaendelea kuzini na kumzalisha kabla hamujaowana na mama anasapoti!!! Wazazi wengine ni chanzo cha kuwaharibu na kuwapeleka pabaya watoto wao.
Hujasoma vizuri. Unamsingizia Mama yangu.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako katika hii simulizi, ni wazi wewe ndie una matatizo na una ukorofi.

Huyu mwanamke kwa upande wangu anaonekana ni mwanamke mzuri tu kitabia na hana kiburi bali wewe ulikuwa unamchanganya na maamuzi yako ambayo ndani yake yamejawa ubinafsi.

Angekuwa ni mwanamke kiburi asinge kubali kubeba ujauzito wako akijua wewe haupo kazini, kwani ni wanawake wangapi hutoa ujauzito kimya kimya, ila huyu akaona ni heri akorofishe wazazi wake ili akupe wewe mtoto, it means alikuwa tayari kwa lolote kwaajiri yako na alijitoa kwako ili awe na wewe.

Ulifanya vema kulea ujauzito ila ukaja kuzingua kwa kuamua kimpeleka chuo mbali na wewe(kumbuka umeshapata kazi na unajitegemea) mbaya zaidi ukamtenganisha na mtoto wenu wa umri wa miezi nane. Hivi kwa mtu unaejali mahusiano unaweza fanya hivi kwa mwanamke ambaye amegombana na wazazi wake ili awe na wewe?!

Ulishindwa nini kumtafutia chumba akae na mtoto wenu na beki tatu alee huku akisoma?!

Au kwann haukutafuta chuo Dar asome chochote ila aishi kwa mama yako akilea mtoto wenu na kuwa karibu na mama yako?!

Au ulishindwa nn kumchukua uishi nae hapo ulipokuwa mlee mtoto pamoja huku akisoma chuo kilichopo hapo karibu?!

Sasa unajiweka mbali na mtoto wa watu halafu unataka afanye maamuzi kwa kukusikiliza wewe, kama nani yake sasa?!

Kwamba ukishampa ujauzito na unamkalia mbali hivyo basi automatically anatakiwa kuishi kama robot akisikilizia nini utasema next na mnakaa mikoa mbali tena kwa makusudi yako kabisa.

Kwa nilichokiona katika maelezo yako wewe una mahusiano ya kimabavu fulani hivi, au tuseme haukuwa kiongozi mzuri kwa huyo binti. Binti uliyempata alikuwa ni mtiifu sana kwako na alikuwa ni wife mzuri tu ila ulifeli kumpa muongozo wa kesho yake na wewe ipo wapi. Kumlipia kodi, au kuhudumia mtoto haiwezi mpa guarantee kuwa utakuwa mumewe sababu matendo na mipango yako havikuwa na uhakika kwake kuwa unamhitaji.

Namna nzuri ya kumuonyesha mwanamke kuwa unampenda ni kuwa nae karibu na kuishi nae na kumuonyesha kuwa kila unachofanya ni kwaajiri yenu wawili na yeye ni kipaumbele chako.

Sasa mnatia ujauzito watoto wa watu halafu mnawakwepa kwepa , kisha unakuja hapa kumlamu, sasa amekukosea nini huyo binti?! Si ungemuacha ajisomee pengine angekuwa ameshaolewa na ana familia yake somewhere muda huu.

Ila umeshamzalisha, umetafutiza visa, now umemuacha solemba, haya nani akamuoe sasa na umeshamtia doa la kuwa na mtoto na wewe ile hali hautamuoa....?!

Katubu hiyo dhambi na umtafute umuombe msamaha na uhakikishe unamsaidia kuweka maisha yake sawa na huyo mtoto akae nae sio kumsumbua mama yako utadhani mtoto hana mama yake.

Wewe ndie mkorofi , huyo binti wala si maneno ndio yanayompa jeuri ni matendo na maamuzi yako ya kibabe kumuonea.
 
Kusomesha mchumba ni mfumo dume, unyanyasaji wa kijinsia na ni rushwa ya ngono, kama unataka mke msomi oa aliyesoma tayari mbona wapo tu.... halafu nyuzi kibao zipo humu kukandia kuoa wanawake wasomi.
Kwahiyo mtu akikutana na mwanamke ambaye amekwama kifedha na kushindwa kuendelea na masomo basi asimsaidie na wala asimpe msaada wowote?!

Mfumo dume ni kitu gani kwanza?!
 
Ooh yes! Tulisoma na dada mmoja chuo alivua Pete ya ndoa akiwa second year na akabadili dini akaolewa na jamaa mwingine.
Mumewe wa ndoa alikuwa anakuja na mtoto pale hostel mabibo yule dada hataki hata kuwaona.

Walipo maliza chuo wakazaa motto mmoja ila Sikh moja isiyo na Nina yule second husband alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana dada akabaki mjane

Sent using Jamii Forums mobile app
Na atabakia hivyo huyo.
 
Back
Top Bottom