Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,712
- 36,171
Mbwa tena?!Ile pesa ni heri ningenunua mbwa niwafuge aisee, inaniuma mpaka kesho.
Mkuu naomba nitagKuna uzi humu ndani wa namna hii. Utafute ucheke kama sio kusikitika.
🗣🗣Man down!! Man down!!Commando Ngusero: Another man down send in the chopper and back up to cover my asss.
Bregedia : Eeeeh
Commando Ngusero: Sir please send in the fakin chopper and back up to cover my fakin asss.
Bregedia: Abort the mission
Commando Ngusero: Whaaat, you cant be serious sir but....
Bregedia: Abort the fakin mission and return to the base NOW
Commando Ngusero: Fak
Bregedia: Its an order
Commando Ngusero: Mission aborted... Returning to the base
Mimi hata sikurudi kabisa dukani nilimuagiza dogo akachukue mzani usiku alipo nilitea nikamwambia huo mzani ni zawadi yako..kuanzia hapo biashara za mizuka mizuka sizitaki hata kuzisikia..Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers..,
Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!!
Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!
Kweli mwana!Mbwa tena?!
Magufuli kweli ni chaguo la Ibilisi maana sio kwa misukosuko ile tuliyoipitiaDaah umenikumbusha mwaka 2018 nilikopa nikaanza biashara fulani hivi sitaki hata kuitaja jina nilichokipata sitasahau na kibaya zaidi nilikuwa nikiangalia salary slip lile deni natamani kuliaa