Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,601
- 140,055
Ohoooo!!!Naomba mwaka huu usiishe ubakwe ili utubu uache zinaa
[emoji23][emoji23][emoji23] arobaini zake zinakaribiaohoooo!!!
Huyu dada uwa namzimikia kinoma yaani mda fulani nakuja jf tu kuona twit zakeNaomba mwaka huu usiishe ubakwe ili utubu uache zinaa
Cariha cariha cariha nyimbo mbaya haimbiwi mwana punguza ukali wa maneno mkuuNaomba mwaka huu usiishe ubakwe ili utubu uache zinaa
[emoji23][emoji23][emoji23]nitaachacariha cariha cariha nyimbo mbaya haimbiwi mwana punguza ukali wa maneno mkuu
We Dada majukwaa yote ni yako...naona kila kona upo??umenishinda tabiaNaomba mwaka huu usiishe ubakwe ili utubu uache zinaa
binadam sote tuwakosaji hivo tusiwaombee mabaya or kuwahukum wenzetu, AMIINNaomba mwaka huu usiishe ubakwe ili utubu uache zinaa
uliachwa salama, Mungu wako anaishi aseeekuna pahala niliwahi safiri nikakutana pisi kali nikaipanga ikajaa, nikampa location ya lodge nilipo akawa anakuja kunifariji, kumbe alikua mke wa mtu na mumewe yupo safari...
kuna washenzi walimpigia simu mumewe akaja kimya kimya, mishale ya 3 usiku sim ya pisi ikawa inapigiwa sana hapokei mwisho nikamwambia itoe sauti akaitoa...
kumbe yule bwana yupo nje na alipga sim ajue tupo chumba gani, baadae tuligongewa hodi sana bt hatukufungua, yule bwana akawa anasema ka hamtaki kutoka napga sim police, dah! nilijawa woga kweli ikabidi nifungue liwalo na liwe.
baada ya kutoka jamaa akawa akawa anadeal na mkewe na hapo ndo nilipata upenyo wa kuchomoka, wadada jifunzeni kua wakweli kama mmeolewa ili msiwasababishie matatizo watu wasohatia.
Na hawawezi kuwa wakweli akikwambia ameolewa unampotezea ndo maana wanadanganya, Cha msingi ni kuwa makini tu..kuna pahala niliwahi safiri nikakutana pisi kali nikaipanga ikajaa, nikampa location ya lodge nilipo akawa anakuja kunifariji, kumbe alikua mke wa mtu na mumewe yupo safari...