Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,532
- 22,039
Hatukuimba kwa hiari mkuu 😂Kwa hiyo mlijua kaolewa kweli?Basi ninyi ni wapuuzi.
Hata majuzi kundi lilelile limemuimba Makamu Mwenyekiti kwamba kaolewa UbeligijiIlikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).
Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.
Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.
Sikuwepo enzi zikuwepo lakini nakumbuka 1994 kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi ilikuwa kila baada ya taarifa ya habari wanaweka kipindi maalulum kinachohusu mauaji ya rwanda na BurundiIlikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).
Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.
Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.
Nawaomba pia wazee wenzangu tulioimba nao huo wimbo kama mpo hapa tubuni na Mungu atawasamehe.
Tunaposema CCM ni muasisi wa nyimbo zisizofaa muwe mnatuelewa, walianza siku nyingi sana kutunga nyimbo za hovyo na kuwaimbisha watu (hasa watoto wa shule)
Simjui mtunzi wa huo wimbo ni nani ila naweka hapa mashairi ya huo wimbo ili wale kizazi cha zama za uwazi na ukweli + wasianze kuuliza ni wimbo gani huo..
Wimbo ni huu.... ".... Kambona aaaah aaaah Kambona ameo,,,wa, wapi aaaah aaaah wapi huko ulaya, wivu aaaah aaaah wivu wamkereketaaa".
Nimetubu na kila siku ninatubu kwa hiyo dhambi.
Yule babu yule hafaiIlikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).
Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.
Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.
Nawaomba pia wazee wenzangu tulioimba nao huo wimbo kama mpo hapa tubuni na Mungu atawasamehe.
Tunaposema CCM ni muasisi wa nyimbo zisizofaa muwe mnatuelewa, walianza siku nyingi sana kutunga nyimbo za hovyo na kuwaimbisha watu (hasa watoto wa shule)
Simjui mtunzi wa huo wimbo ni nani ila naweka hapa mashairi ya huo wimbo ili wale kizazi cha zama za uwazi na ukweli + wasianze kuuliza ni wimbo gani huo..
Wimbo ni huu.... ".... Kambona aaaah aaaah Kambona ameo,,,wa, wapi aaaah aaaah wapi huko ulaya, wivu aaaah aaaah wivu wamkereketaaa".
Nimetubu na kila siku ninatubu kwa hiyo dhambi.
Shida ya kusoma shule za serikali shule za Private hazina na hazijawahi kuwa na hayo mambo wao shule ni shule tu siasa walitupilia mbali hata enzi hizo Ndiyo maana ufaulu haujawahi shuka shule za private hasa za kanisa katoliki wanajua agenda ya mtoto shule ni kusoma tu sio vinginevyoHatukuimba kwa hiari mkuu 😂
Tulilazimishwa pia tuseme "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.."Sisi shule ya vidudu tuliimbishwa Naapa naahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa. Pumbavu zao kabisa hawa CCM, kutuimbisha watoto wadogo.Kipindi hicho vyama vingi vimeanza.
Ubahili ungepelekwa shule za private vidudu usingekutana na hayo labda uamue mwenyewe kwenda chipukizi au mzazi akupeleke chipukizi huko ukaimbe nje ya muda wa masomo au likizo sio shuleniSisi shule ya vidudu tuliimbishwa Naapa naahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa. Pumbavu zao kabisa hawa CCM, kutuimbisha watoto wadogo.Kipindi hicho vyama vingi vimeanza.
Kwangu mimi Kambona atabaki kuwa shujaa, ni kweli alikataa kufuata fikra potofu za mwalimu.Mashujaa akina MZEE KAMBONA walikiona cha moto na KUSIMANGWA
Lazima walipigishwa kwata na kulazimishwa kuwa machipukizi ya CCM 😂Ndio maana @Mohamed Said na @FaizaFoxy
Yaani hata usinikumbushe....Ilikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).
Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.
Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.
Nawaomba pia wazee wenzangu tulioimba nao huo wimbo kama mpo hapa tubuni na Mungu atawasamehe.
Tunaposema CCM ni muasisi wa nyimbo zisizofaa muwe mnatuelewa, walianza siku nyingi sana kutunga nyimbo za hovyo na kuwaimbisha watu (hasa watoto wa shule)
Simjui mtunzi wa huo wimbo ni nani ila naweka hapa mashairi ya huo wimbo ili wale kizazi cha zama za uwazi na ukweli + wasianze kuuliza ni wimbo gani huo..
Wimbo ni huu.... ".... Kambona aaaah aaaah Kambona ameo,,,wa, wapi aaaah aaaah wapi huko ulaya, wivu aaaah aaaah wivu wamkereketaaa".
Nimetubu na kila siku ninatubu kwa hiyo dhambi.
Alichosingiziwa idd Amin ni kula nyama za binadamu tu, ila kuhusu kuvamia Kagera hakusingiziwa mkuu 😂Idd Amini alisingiziwa mengi sana
"Idiamini akifa, mimi siwezi kuliaIlikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).