SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 15, 2025 #1 1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya. 2. Jamaa wamefunga group - Wanadai wanaenda kufanya matendo ya huruma wakimaliza, watafungua nadhani ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali za mabasi ya mikoani
1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya. 2. Jamaa wamefunga group - Wanadai wanaenda kufanya matendo ya huruma wakimaliza, watafungua nadhani ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali za mabasi ya mikoani
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,421 Reaction score 3,974 Jan 15, 2025 #2 GWEC kirefu chake ndio magazijuto.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,684 Reaction score 24,003 Jan 15, 2025 #3 blessings said: 1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya. 2. Jamaa wamefunga group, Wanadai watafungua baadae ila ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali Click to expand... Hao jamaa wanahusika na nini? Tupe ABC zake
blessings said: 1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya. 2. Jamaa wamefunga group, Wanadai watafungua baadae ila ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali Click to expand... Hao jamaa wanahusika na nini? Tupe ABC zake
Cetshwayo Kampande JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,405 Reaction score 3,260 Jan 15, 2025 #4 Wajinga wanapigwa Kila siku,bongo kweli Kuna ela za mchezo.mtu usiseme hatuna ela,sema Hauna ela
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 15, 2025 Thread starter #5 Cetshwayo Kampande said: Wajinga wanapigwa Kila siku,bongo kweli Kuna ela za mchezo.mtu usiseme hatuna ela,sema Hauna ela Click to expand... Pesa ipo
Cetshwayo Kampande said: Wajinga wanapigwa Kila siku,bongo kweli Kuna ela za mchezo.mtu usiseme hatuna ela,sema Hauna ela Click to expand... Pesa ipo
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,741 Reaction score 4,365 Jan 15, 2025 #6 Wajinga hawaishi, wanaendelea kuzaliwa.
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 16, 2025 Thread starter #7 Pump kama pump
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,528 Feb 3, 2025 #8 Woyooo