Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
- Thread starter
- #21
mkuu unawafahamu vizuri sana hasa huyo Prof wa moja moto moja barid....safi sanaBLS 2010 _ 2013. Nilikuja kuanza BSc nikiwa kazini.tayr. Nilirudi kituoni kwangu baada ya kumaliza BLS. Nawakumbuka sana Dr Hoza nasikia sasa hivi amekuwa mpole sana... dr G Misinzo, Prof Balthazary alikuwa alikuwa academic advisor wangu mpk sasa bado nawasiliana nae na mara kadhaa nakutana naye maeneo ya moja baridi/ moja.
Dr. Max.... Prof Malago simsahau kwa aina ya mitihani aliyokuwa anatunga kila mtu na swali lake...
Msuli wa SUA respect!
