KERO Tuliosoma Bachelor of Education in Psychology, hakuna ajira tangu 2015

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu.

Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es salaam.

Kwa bahati mbaya course hi haimo kwenye mfumo wa ajira tangu mwaka 2015 ambapo wahitimu ndio walikuwa wakichukuliwa kama wakufunzi wa vyuo vya kati (Ualimu).

Tangu mwaka huo hizo ajira hazipo kabisaa hata za kuokota, mbaya zaidi mwaka jana wa masomo kwa Udom walitangaza kufuta course hiyo na kwa Udsm ilifitwa kimyakimya, hawakudahili wanafunzi wapya isipokuwa wapo wanaoendelea (continuous).

Lakini ukwelii ni kwamba sisi ni multi-purpose, ni walimu maana tunajifunza all means of teaching and learning techniques, ni wanasaikolojia maqna tunasoma counselling, health, social psychology na nyingine nyingi, kwahyo tunaweza kuhudumu hospital kama counsellors, au shuleni kama watu wa malezi au kufundisha darasani kabisaa.

Hata kwenye Ajira portal utabahatika kusajiri tu lakini wakati wa kuomba unaambiwa hii kazi hai match na taaluma yako, sasa hatima yetu ni ninii, baadhi wanabahatika kwenda kufundisha Vyuo private hata vya ngazi za juu, ila kubahatika ni juhudi zao binafsi.

Hata nafasi za vyomba vya ulinzi bado unaonekana huna vigezo sababu course yako haikutajwa kwenye vigezo.

Ushauri wangu kwa serikali, kuna changamoto za afya ya akili walau waajiri wataalam wa Saikolojia ya Elimu kila shule, wawahudumie walimu na wanafunzi, vituo vya polisi vinahitaji wanasaikolojia, hospital, vituo vya Elimu maalum.

Na sehemu nyingi lukuki lakini tumekaliwa kimya na tumetelekezwa hakuna sehemu inatutambua, je hatima ya hwa wote ambao wapo mtaani tangu 2015 wataenda wapii, sio wote wengine walichukuliwa na taasisi na wengine vyuo binafsi je sisi wengine ipi ni hatima yetu?

Waziri Mkenda alipoulizwa kuhusu suala la UDOM kufuta course alitoa majibu soft sana ambayo hayakuwa suruhusho kabisa, je Serikali inaujua huu ukwelii?

Kuna watu hawapo kwenye mifumo yao ya ajira, jamii inawahitaji sana hawa watu lakini serikali haina muda nao, kiufupi tumeachwa matatanii
 
Ni kweli unachokisema lakini shida sasa ni jinsi ya kumbadili mtazamo ki fikira ili aweze kujisimamia, unajua alijiwekeza ktk fikra kuajiriwa tu sasa mtihani ni jinsi ya kuibadili fikira yake.
Kwahiyo ni kusema mtaalam wa saikolojia na yeye annahitaji msaada wa kisaikolojia?

Anyway, lakini suala hilo ni tatizo la mifumo yetu ya elimu inatuandaa kuajiriwa.
Unakuta bwanashamba hana hata mche mmoja wa mpapai.
 
Ni kweli unachokisema lakini shida sasa ni jinsi ya kumbadili mtazamo ki fikira ili aweze kujisimamia, unajua alijiwekeza ktk fikra kuajiriwa tu sasa mtihani ni jinsi ya kuibadili fikira yake.
Hii ni mentality inayosumbua wengi,lakini ajibidiishe tu kupambana huku na huko,japo mie kwa sasa ni mstaafu ntajaribu kumfata inbox nishauriane nae jinsi ya kumpa sapoti
 
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu.

Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es salaam.

Kwa bahati mbaya course hi haimo kwenye mfumo wa ajira tangu mwaka 2015 ambapo wahitimu ndio walikuwa wakichukuliwa kama wakufunzi wa vyuo vya kati (Ualimu).

Tangu mwaka huo hizo ajira hazipo kabisaa hata za kuokota, mbaya zaidi mwaka jana wa masomo kwa Udom walitangaza kufuta course hiyo na kwa Udsm ilifitwa kimyakimya, hawakudahili wanafunzi wapya isipokuwa wapo wanaoendelea (continuous).

Lakini ukwelii ni kwamba sisi ni multi-purpose, ni walimu maana tunajifunza all means of teaching and learning techniques, ni wanasaikolojia maqna tunasoma counselling, health, social psychology na nyingine nyingi, kwahyo tunaweza kuhudumu hospital kama counsellors, au shuleni kama watu wa malezi au kufundisha darasani kabisaa.

Hata kwenye Ajira portal utabahatika kusajiri tu lakini wakati wa kuomba unaambiwa hii kazi hai match na taaluma yako, sasa hatima yetu ni ninii, baadhi wanabahatika kwenda kufundisha Vyuo private hata vya ngazi za juu, ila kubahatika ni juhudi zao binafsi.

Hata nafasi za vyomba vya ulinzi bado unaonekana huna vigezo sababu course yako haikutajwa kwenye vigezo.

Ushauri wangu kwa serikali, kuna changamoto za afya ya akili walau waajiri wataalam wa Saikolojia ya Elimu kila shule, wawahudumie walimu na wanafunzi, vituo vya polisi vinahitaji wanasaikolojia, hospital, vituo vya Elimu maalum.

Na sehemu nyingi lukuki lakini tumekaliwa kimya na tumetelekezwa hakuna sehemu inatutambua, je hatima ya hwa wote ambao wapo mtaani tangu 2015 wataenda wapii, sio wote wengine walichukuliwa na taasisi na wengine vyuo binafsi je sisi wengine ipi ni hatima yetu?

Waziri Mkenda alipoulizwa kuhusu suala la UDOM kufuta course alitoa majibu soft sana ambayo hayakuwa suruhusho kabisa, je Serikali inaujua huu ukwelii?

Kuna watu hawapo kwenye mifumo yao ya ajira, jamii inawahitaji sana hawa watu lakini serikali haina muda nao, kiufupi tumeachwa matatanii
Sekta binafsi inauona umuhimu wenu? Na nyie wenyewe mnatoa elimu kwa waajiri na jamii kwa ujumla ambayo pengine haijajua mtaisaidia vipi jamii?
 
Pole sana.

Kuna mahali wizara inafeli sana katika kufanya maamuzi bila kushirikisha wataalamu wa fani husika za kozi ambazo wao wenyewe walizianzisha. Hili ni jambo la kusikitisha sana.

Madhara yake yanaonekana wazi, kwa sababu kama taifa tunafikia mahali pa kudharau fani ambazo kwa sasa ni muhimu sana duniani, kama Psychology, Philosophy, Ethics, GS na Civics. Fani hizi ndizo zinazoandaa watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina, kufanya maamuzi sahihi na kuongoza jamii kwa busara.

Kama taifa tunapaswa kujiandaa, kwa sababu siku za mbele tunaweza kujikuta tunalia kilio ambacho hatutakuwa na mtu wa kukipangusa machozi.

Ni wakati wa kutafakari kwa kina kuhusu tunakoelekea kama taifa.

💭 Taifa lisilothamini maarifa na wataalamu wake, hujiandalia changamoto kubwa katika siku za usoni.
 
Serikali ya Tz Wana vituko sana hv huwa wanawaza Nini pale ambapo wanaanzisha course ambazo hawana uhitaji nazo?
Sio kwamba serikali au wizara zinaanzisha kozi ambazo hazihitajiki—la hasha. Kozi yoyote inapozinduliwa hupitia michakato kadhaa muhimu, ikiwemo tafiti za kitaaluma na tathmini ya mahitaji ya jamii pamoja na soko la ajira.

Tatizo linakuja pale ambapo wanaotunga sera hawashirikishi wala kuheshimu vyuo vikuu katika uhuru wao wa kitaaluma (academic autonomy). Vyuo vikuu vinafanya tafiti na uchambuzi wa kina, lakini mara nyingi maamuzi ya sera yanafanywa bila kuzingatia matokeo ya tafiti hizo.

Hapo ndipo tunapojikuta kuna pengo kati ya watunga sera, tafiti za vyuo vikuu, na uhalisia wa soko la ajira.

Ni muhimu pia kufahamu kwamba hakuna kozi isiyo na maana. Kila kozi ina mchango wake katika maendeleo ya jamii na taifa. Changamoto kubwa iko kwa watunga sera ambao wakati mwingine hufanya maamuzi ya haraka au ya mihemko bila ushirikishwaji mpana wa wataalamu.

Tumeshuhudia hali kama hiyo hapo awali, mfano katika sakata la Physics with Chemistry, na hali kama hiyo ilijirudia tena mwaka jana.

Kwa mfano, mwaka jana kulianzishwa somo la Historia ya Tanzania na Maadili, wakati tayari kulikuwa na somo la Historia. Kwa mtazamo wa kitaaluma, ingewezekana kuunganisha Historia ya Tanzania ndani ya somo la Historia, huku Maadili yakijitenga na kuwa somo lake maalum.

Lakini wakati huo huo tunaona masomo muhimu kama Psychology na Falsafa yakiondolewa au kupuuzwa. Hili linaibua maswali makubwa, hasa katika ulimwengu wa sasa unaoongozwa na Artificial Intelligence (AI).

Dunia ya AI haihitaji tu wataalamu wa teknolojia; inahitaji pia watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina, kuchambua maadili, kuelewa tabia ya binadamu, na kufanya maamuzi yenye hekima. Haya yote ndiyo msingi wa Psychology na Philosophy.

Kuondoa au kudharau fani hizi ni sawa na kupunguza uwezo wa kizazi kijacho kufikiri kwa kina katika dunia ambayo inahitaji sana critical thinking, ethics, na uelewa wa akili ya binadamu.

Ikiwa hatutajenga mfumo unaounganisha vizuri sera za elimu, tafiti za vyuo vikuu, na mahitaji ya soko, tutakuwa tunajiweka katika hatari ya kufanya maamuzi ambayo baadaye taifa litalazimika kuyarekebisha kwa gharama kubwa
 
Poleni sana..
Kazi zenu zipo kwenye shule za international zaidi, zenye Counselling department/Special needs...

Cc: Mahondaw
 
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu.

Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es salaam.

Kwa bahati mbaya course hi haimo kwenye mfumo wa ajira tangu mwaka 2015 ambapo wahitimu ndio walikuwa wakichukuliwa kama wakufunzi wa vyuo vya kati (Ualimu).

Tangu mwaka huo hizo ajira hazipo kabisaa hata za kuokota, mbaya zaidi mwaka jana wa masomo kwa Udom walitangaza kufuta course hiyo na kwa Udsm ilifitwa kimyakimya, hawakudahili wanafunzi wapya isipokuwa wapo wanaoendelea (continuous).

Lakini ukwelii ni kwamba sisi ni multi-purpose, ni walimu maana tunajifunza all means of teaching and learning techniques, ni wanasaikolojia maqna tunasoma counselling, health, social psychology na nyingine nyingi, kwahyo tunaweza kuhudumu hospital kama counsellors, au shuleni kama watu wa malezi au kufundisha darasani kabisaa.

Hata kwenye Ajira portal utabahatika kusajiri tu lakini wakati wa kuomba unaambiwa hii kazi hai match na taaluma yako, sasa hatima yetu ni ninii, baadhi wanabahatika kwenda kufundisha Vyuo private hata vya ngazi za juu, ila kubahatika ni juhudi zao binafsi.

Hata nafasi za vyomba vya ulinzi bado unaonekana huna vigezo sababu course yako haikutajwa kwenye vigezo.

Ushauri wangu kwa serikali, kuna changamoto za afya ya akili walau waajiri wataalam wa Saikolojia ya Elimu kila shule, wawahudumie walimu na wanafunzi, vituo vya polisi vinahitaji wanasaikolojia, hospital, vituo vya Elimu maalum.

Na sehemu nyingi lukuki lakini tumekaliwa kimya na tumetelekezwa hakuna sehemu inatutambua, je hatima ya hwa wote ambao wapo mtaani tangu 2015 wataenda wapii, sio wote wengine walichukuliwa na taasisi na wengine vyuo binafsi je sisi wengine ipi ni hatima yetu?

Waziri Mkenda alipoulizwa kuhusu suala la UDOM kufuta course alitoa majibu soft sana ambayo hayakuwa suruhusho kabisa, je Serikali inaujua huu ukwelii?

Kuna watu hawapo kwenye mifumo yao ya ajira, jamii inawahitaji sana hawa watu lakini serikali haina muda nao, kiufupi tumeachwa matatanii
Hospitali wanachukuliwa waliosoma psychiatry, huwa wakimaliza miaka 5 ya doctor of medicine huwa wanaenda kuspecialize kwenye psychiatry miaka mi3,
 
Back
Top Bottom