Tuliopata Udahili wa MSc UDSM, Campus ya MUCE

Tuliopata Udahili wa MSc UDSM, Campus ya MUCE

mbuyamore

Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
37
Reaction score
20
Hamjambo humu wataalamu.

Kwa wale mliopata udahili wa Masters degree ya chuo cha Mkwawa, Iringa naomba tujuane. Pia kwa wale mnaokifahamu chuo vizuri tunaomba experience ya mazingira ya chuoni ukizingatia mwaka huu ni intake ya pili kwa Masters degree.
 
Back
Top Bottom