Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

Wapi mwalimu Masokola na Doti? Wapi Mwl Msuya? Wapi mwalimu Kasongo, Valentine, Wapi Mwal Mkangazi?
 
Nakumbuka Mkuchika alipokuwa RC Tanga aliruhusu usafiri wa Daladala, daladala zote zikawa zinaitwa ASANTE MKUCHIKA
 
Wana jf wa tanga,tuliowahi kusoma tanga na kukaa tanga ,maeneo kama pongwe,kichangani,maweni,kange,nguvumali,usagara,raskazone,mikanjuni,mabokweni,maranzara,donge,! Shule kama usagara,mkwakwani,popatlal,eukenford,galanos,masechu ,japan n.k karibuni watangaa rahaaa tujikumbushe stare he bata za tanga ,nimehama huko muda mrefu sana mwaka2004

Umetaja eneo langu Raskazon ila napatikana katani house ndo job
 
Back
Top Bottom