Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
1,369
488
Wana JF wa Tanga, tuliowahi kusoma Tanga na kukaa Tanga maeneo kama Pongwe, Kichangani, Maweni, Kange, Nguvumali, Usagara, Raskazone, Mikanjuni, Mabokweni, Maranzara, Donge,! Shule kama Usagara, Mkwakwani, Popatlal, Eukenford, Galanos, Masechu, Japan n.k. Karibuni watangaa rahaaa tujikumbushe stare he bata za Tanga, nimehama huko muda mrefu sana mwaka 2004.
 
Yule mdosi bonge kule chini sheli barabara ya 7 bado yupo?

Nataka mnijibu ili niwakumbushe kisa chake
 
Pale Jumuiya sekondari kulikuwa na walimu maarufu kama Aly Hemed aka Reagan headmaster. Ndeya second master mkali wa hesabu. Manyiri aka super tall. Mhina mzee na Mhina mchafu. Mwenye taarifa na hawa watu atujuze
 
Wana jf wa tanga,tuliowahi kusoma tanga na kukaa tanga ,maeneo kama pongwe,kichangani,maweni,kange,nguvumali,usagara,raskazone,mikanjuni,mabokweni,maranzara,donge,! Shule kama usagara,mkwakwani,popatlal,eukenford,galanos,masechu ,japan n.k karibuni watangaa rahaaa tujikumbushe stare he bata za tanga ,nimehama huko muda mrefu sana mwaka2004

Mimi nimesoma Tanga Tech. Dah lile life sitalisahau. Headmaster alikuwa anaitwa Samson Mathias Teti. Mbabe, kiburi na mkatili. Dah! Nimekumbuka mbali sana
 
Pale Jumuiya sekondari kulikua na walimu maarufu kama Aly Hemed aka Reagan headmaster. Ndeya second master mkali wa hesabu. Manyiri aka super tall. Mhina mzee na Mhina mchafu. mwenye taarifa na hawa watu atujuze

Hahahaha jumuiya IPO pale stendi eeeh
 
Back
Top Bottom