Mimi Nani ni victim ktk hili,nangojea wataalam wajeWale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
Mimi Nani ni victim ktk hili,nangojea wataalam wajeWale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
TANESCO HAWANA HUDUMA YA Tarrif Zero! Kwahiyo nazani hamjui mnachokiomba , Mwisho wa siku nazani Tanesco wanaomfumo AUTOMATED kwa mteja aliye kiuka vigezo na masharti!Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
Mm pia nanunua kila mwezi haijalishi unit zipo au la mpaka sasa nina unit zaidi ya 500 za akiba, nina uwezo wa kutumia mwaka mzima bila kununua umemeKuna wakati wanaamua kutoa Watu wote bila kujali kama Umevuka kiwango au la.Niliwahi kutolewa nikarudi kwa ' ubishi'nikaa mwaka nikatolewa tena December mwaka jana,february nikafosi tena sasa nimo.
Nimejifunza kila mwezi bila kujali kama unit zipo,nanunua umeme 9000,wakinitoa nabaki na unit za kutumia si chini ya miez 10
#MitanoTenaALICHONAMBIA MENEJA NI KUWA HIYO HUDUMA KWA SASA HAIPO NA AMBAO WAMESHAUNGWA TAYARI MUDA SI MREFU WATATOLEWA!! mjiandae
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
tupatie namba yako ya mita tukupe maelezo mazuri kwanini umetolewa TarrifWale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
tupatie namba yako ya mita,Kuna wakati wanaamua kutoa Watu wote bila kujali kama Umevuka kiwango au la.Niliwahi kutolewa nikarudi kwa ' ubishi'nikaa mwaka nikatolewa tena December mwaka jana,february nikafosi tena sasa nimo.
Nimejifunza kila mwezi bila kujali kama unit zipo,nanunua umeme 9000,wakinitoa nabaki na unit za kutumia si chini ya miez 10
ndugu mteja, endelea kufurahia huduma za TANESCO bila kujibanaNinatumia taa 10, 5 ndogo na 5 (size ya kati), TV sàmsung 2 za inch 32", fridge 1 (kidogo) natumia pasi kila siku asubuhi, napandisha maji kwenye tank la lita 1000 baada ya siku 3, radio (subwoofer) 1. Nilikuwa natumia unit 75 kwa mwezi na wiki moja but ghafla tu unit 75 zikaanza kuisha kwa wiki 3.
Ni mwezi wa pili Sasa nimetolewa kwenye 0 tariff had 1. Sijui hata nafanyaje