Tulioamishwa Tarrifs na TANESCO

Tulioamishwa Tarrifs na TANESCO

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,077
Reaction score
3,419
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
 
Tulia kijana.....nipo mwenyewe nyumban na shemeji yako na tunatoka asubuhi kurud usiku...ebu nipe huo mchanganuo wa hio unit 75 kwa mwezi....n:b usijibu maswali kama job ndugai au kabudi.
Utaratibu wa kuingia hiyo tariff zero ukoje?
 
Tulia kijana.....nipo mwenyewe nyumban na shemeji yako na tunatoka asubuhi kurud usiku...ebu nipe huo mchanganuo wa hio unit 75 kwa mwezi....n:b usijibu maswali kama job ndugai au kabudi.
Cheki umeme labda unavuja
 
Tulia kijana.....nipo mwenyewe nyumban na shemeji yako na tunatoka asubuhi kurud usiku...ebu nipe huo mchanganuo wa hio unit 75 kwa mwezi....n:b usijibu maswali kama job ndugai au kabudi.
Tafuta fundi aje akakague "earth road" inawezekana umeme unavuja! Mimi kwangu nilishangaa ndani ya siku tatu nimetumia unit 13 ile hali huwa natumia unit mbili kwa siku! Nikamuita fundi alipokagua akagundua waya wa earth umekatika! Alipounga matumizi yakarudi normal
 
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za k
Tafuta fundi aje akakague "earth road" inawezekana umeme unavuja! Mimi kwangu nilishangaa ndani ya siku tatu nimetumia unit 13 ile hali huwa natumia unit mbili kwa siku! Nikamuita fundi alipokagua akagundua waya wa earth umekatika! Alipounga matumizi yakarudi normal
umeme umekuwa ghali! Mimi wamenibadilishia kwa kigezo cha kununua umeme mwingi! Swali nikwamba hawajui mtu ananunua ili awe na umeme hata kama siku hana hela!!? Haya makadirio ni ya kizamani sana! Maana ya kuwa na luku ni nini sasa! Idara husika pitieni hili maana mtu anaona nibora atumie solar kuliko huu umeme sasa! Unit 28 ndani ya siku nne haupo!!!? Na naishi mwenyewe natoka asubuhi narudi saa nne usiku!
 
Tafuta fundi aje akakague "earth road" inawezekana umeme unavuja! Mimi kwangu nilishangaa ndani ya siku tatu nimetumia unit 13 ile hali huwa natumia unit mbili kwa siku! Nikamuita fundi alipokagua akagundua waya wa earth umekatika! Alipounga matumizi yakarudi normal
Mmh
 
Mimi nauliza utaratibu wa kuingia tariff zero upojee?

Kuna wanao niambia mpk nimalize miezi 5,
Kuna wanao niambia mpk niwe nimeweka umeme Si chini ya mara tano(hapa sijajua kiwango) mana kama ni hivyo si naweka wa buku 2 mara tano.
 
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
Sijui ni nani aliwadanganya watu kuwa hii huduma inaitwa tarrif 0, iko hivi hii huduma inaitwa tarrif 4 ambapo ukilipa 9150 unapata unit 75 japo watanzania wengi hulipa 9000 kamili hivyo hupata unit 73.8
 
Juzi nimeenda tanesco ilemela nimeonana na meneja maana hao wafanyakazi wake hawataki kuniunga tariff 4,ALICHONAMBIA MENEJA NI KUWA HIYO HUDUMA KWA SASA HAIPO NA AMBAO WAMESHAUNGWA TAYARI MUDA SI MREFU WATATOLEWA!! mjiandae
 
Ninatumia taa 10, 5 ndogo na 5 (size ya kati), TV sàmsung 2 za inch 32", fridge 1 (kidogo) natumia pasi kila siku asubuhi, napandisha maji kwenye tank la lita 1000 baada ya siku 3, radio (subwoofer) 1. Nilikuwa natumia unit 75 kwa mwezi na wiki moja but ghafla tu unit 75 zikaanza kuisha kwa wiki 3.

Ni mwezi wa pili Sasa nimetolewa kwenye 0 tariff had 1. Sijui hata nafanyaje
 
Juzi nimeenda tanesco ilemela nimeonana na meneja maana hao wafanyakazi wake hawataki kuniunga tariff 4,ALICHONAMBIA MENEJA NI KUWA HIYO HUDUMA KWA SASA HAIPO NA AMBAO WAMESHAUNGWA TAYARI MUDA SI MREFU WATATOLEWA!! mjiandae
Apa ndo jibu lilipo and ze case close.
 
Juzi nimeenda tanesco ilemela nimeonana na meneja maana hao wafanyakazi wake hawataki kuniunga tariff 4,ALICHONAMBIA MENEJA NI KUWA HIYO HUDUMA KWA SASA HAIPO NA AMBAO WAMESHAUNGWA TAYARI MUDA SI MREFU WATATOLEWA!! mjiandae
Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Kuna wakati wanaamua kutoa Watu wote bila kujali kama Umevuka kiwango au la.Niliwahi kutolewa nikarudi kwa ' ubishi'nikaa mwaka nikatolewa tena December mwaka jana,february nikafosi tena sasa nimo.
Nimejifunza kila mwezi bila kujali kama unit zipo,nanunua umeme 9000,wakinitoa nabaki na unit za kutumia si chini ya miez 10
 
Back
Top Bottom