Haijalishi mwanaume awe mwenye hela au lofa foleni tunapangwa tu.....tena wasio na hela wakizipata ulimbukeni wao unaweza shangaa hvi ni yule humble bae wangu au mwengine
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea na kazi za boss mkuu bado una 45mins to go, wajasiriamali ndo tunaelewa nini kitatokea.🤣🤣🤣Mkishajuana nini kinatokea????
Hahahahah sawa mlimbwende wangu 😍Basi punguza baba utatupa presha bure....mm binafsi sitaki kukupoteza hata km unatupangaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ww ni 1 in a million boo!leo nimejua kwann nakupendaHahahah bahati nzuri mie huwa sibadiliki mamii wether nina hela au sina, nipogi neutral tu. Zaidi tu unadhifu utaongezeka kidogo ila humbleness hubakia vile vile. Yani huwezi jua nahela au sina
Me Luh u too swty😍
No offense ila dada hukunwi vizuri huko unakoonjwa.Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda
Nimekwambia naonja nikinogewa naweka makazi... Hapo hujaelewa kitu gani?No offense ila dada hukunwi vizuri huko unakoonjwa.
Depal onja onja humaliza buyu la asaliNimekwambia naonja nikinogewa naweka makazi... Hapo hujaelewa kitu gani?
Nimekuelewa vizuri sana.Nimekwambia naonja nikinogewa naweka makazi... Hapo hujaelewa kitu gani?
Naaanisha single kama single ndan ya jf na nje ya jf
Hahahaha aseeNo offense ila dada hukunwi vizuri huko unakoonjwa.
Mkuu ukionjwa ukaonjeka, ukikunwa ukakunika utaacha kurukaruka (sio kwa maana mbaya).
Ila sio mbaya, kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake.
By the way mimi niko single kwasababu
1. Huwa situmi nauli
2. Nikituma huwa situmi yakutolea
3. Nikituma yakutolea huwa simuonji mhusika, namuacha awe rafiki tuu, so nabaki kuwa single.
DahNimekwambia naonja nikinogewa naweka makazi... Hapo hujaelewa kitu gani?