Mawazo sampuli hiyo ndiyo chanzo cha watu kubuma na two au one zao! Open University siyo elderly University! Kuna watu nawafahamu wamepitia njia hiyo Leo ni maprofesa!na wewe ni mzee
Samahani lakini cdhani kama mnakijua vizur chuo hiki
Braza wapo watu wana mikopo pale na open university wenywe wanahimiza ombe mkopo kakaMimi mwaka Jana nilifanyiwa application na MTU ambaye hana uzoefu na haya mambo kwa bahati mbaya akajaza pia iko chuo na wakanichukua, (bsce) lakin nilipo report pale tokea mkoani(mza) hali iliniwea ngua hasa baada ya kujua mfumo wa ufundishaji wa chuo kuwa ni distance leaning yaaan huonan na recture hali ikawa mbaya zaidi nilipogundua kuwa ukiwa pale huwez pata mkopo kabisa man katsha sifa za hslb mwanafunzi anatakiwa awe registered kama anayesoma full time ko ikanibidi kuwa mpole na kusubil kwa mwaka mwingine,,,,ila kama utaweza komaa ukiona huwez omba transfer,, akhsante
Asante mkuuOpen ni chuo kikuu huria. Kwa sasa wana vipindi 1 moja rasmi cha mitihani yaani kila June - July (Test -MTTna Annual) na wana mitihani ya Kuomba (ODEX - On demand Examination) mwezi Oct na Mwezi Feb. Kwa mtu anayefanya kazi kipo poa sana. ILA ni Lazima kukaza Msuli. hakuna shida nyingine.
Kuhusu Mikopo wapo wanaopata Mikopo sina uhakika kama full ninafikiri Accomudation loan hakuna.
Kwa sasa wana system On line unapata materials yote ya kusoma na hata Test kwa sasa unafanya Online (easy).
Kidogo sasa Open sio mambo maguuuumu kama miaka yetu tupokuwa tukisoma hapo.
Shida kubwa ni kwamba kama mvivu kusoma ipo siku usije kutulaumu humu. Huku hakuna utoto utoto. Na kama Musuli wako ni mkubwa na una uwezo wa ada, Possible Miaka miwili Ukawa na Degree yako.