Baada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili.
Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba.
Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba na kuhitimisha kuwa Tanzania tumepewa wajibu DTW wamepewa manufaa ya mradi
Peter Madeleka mwanasheria: Mkataba umekiuka sheria ya hifadhi ya maliasili ya mwaka 2017, imekiuka katiba yetu kwa vifungu vilivyotajwa pia Dubai haina mamlaka ya kusaini mkataba wa kimataifa.
Wakili Boniface Mwabukusi: Vifungu na 21, 23 na 25 vinavyohusu usuluhishi, ukomo na hauwezi kuvunjwa
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa Tanzania
WANAOTETEA
Waziri mkuu: Mkataba utaongeza ufanisi wa bandari kwenye kupakia na kupakua mizigo na kutuwezesha kushindana na bandari jirani, utaongeza ajira kwa Watanzania
Professor Kitila Mkumbo: Tanzania tutapata sh trillion 26 bila kutaja vifungu vinavyoainisha hivyo kwenye mkataba.
Mwanasheria mkuu wa serikali: Ukomo wa mkataba upo kwenye mikataba ya baadae haya ni makubaliano ya ushirikiano
Spika wa bunge: Huu si mkataba bali makubaliano.
Kamati kuu CCM: Tunaunga mkono uwekezaji wa DTW.
Wewe unasemaje?
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa TanzaniaBaada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili.
Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba.
Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba na kuhitimisha kuwa Tanzania tumepewa wajibu DTW wamepewa manufaa ya mradi
Peter Madeleka mwanasheria: Mkataba umekiuka sheria ya hifadhi ya maliasili ya mwaka 2017, imekiuka katiba yetu kwa vifungu vilivyotajwa pia Dubai haina mamlaka ya kusaini mkataba wa kimataifa.
Wakili Boniface Mwabukusi: Vifungu na 21, 23 na 25 vinavyohusu usuluhishi, ukomo na hauwezi kuvunjwa
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa Tanzania
WANAOTETEA
Waziri mkuu: Mkataba utaongeza ufanisi wa bandari kwenye kupakia na kupakua mizigo na kutuwezesha kushindana na bandari jirani, utaongeza ajira kwa Watanzania
Professor Kitila Mkumbo: Tanzania tutapata sh trillion 26 bila kutaja vifungu vinavyoainisha hivyo kwenye mkataba.
Mwanasheria mkuu wa serikali: Ukomo wa mkataba upo kwenye mikataba ya baadae haya ni makubaliano ya ushirikiano
Spika wa bunge: Huu si mkataba bali makubaliano.
Kamati kuu CCM: Tunaunga mkono uwekezaji wa DTW.
Wewe unasemaje?
Kubaini kama nyaraka ya Inter Governmental Agreement between the United Republic of Tanzania and The Emirate of Dubai Concerning the economic and social partnership for the development and improving performance of sea and lake ports in Tanzania, ni mkataba au si mkataba ni kufanya kipimo cha mkataba.Watu wazito watatu wanatamka kuwa ni mkataba, mtu mmoja mzito na yeye kwa nafasi yake anasema, siyo mkataba Bali ni makubaliano. Kamati kuu hajasema kama ni mkataba au makubaliano!!!! Hapo ndipo shughuli nzima inapopotelea kusiko julikana. Wasomi wa sheria hizi tusaidieni jamani maana tunazama huku tunaona tunavyozama.
Boss Asante kwa maelezo yako, je kama taifa, tumekwama au hatujakwama!!!Kubaini kama nyaraka ya Inter Governmental Agreement between the United Republic of Tanzania and The Emirate of Dubai Concerning the economic and social partnership for the development and improving performance of sea and lake ports in Tanzania, ni mkataba au si mkataba ni kufanya kipimo cha mkataba.
Kwa mujibu wa maandiko mbalimbali ya taaluma ya sheria, ili nyaraka ya mariadhiano/maeleano/makubaliano iwe mkataba lazima ikidhi vigezo vyote vya mkataba. Kwa mfano hapa Tanzania Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mikataba Sura ya 345 (2002) kinaeleza kuwa, ili mkataba uwe halali kisheria ni lazima uwe na mambo makuu matano:-
Mosi, makubaliano (agreement), mkataba unafanyika kwa pande mbili kukubaliana juu ya jambo fulani. Makubaliano hayo yanaweza kuwa juu ya biashara, kazi au kitu kingine chochote. Kitu cha msingi na cha kuzingatia katika makubaliano hayo ni kwamba, kila mtu anayeingia katika makubaliano hayo lazima awe tayari kuwajibika kisheria kutokana na makubaliano hayo. Kutokuwapo kwa nia ya kuwajibika kisheria kunayafanya makubaliano hayo yasiwe na nguvu ya kisheria kama mikataba mingine ilivyo.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limetekelezwa kama inavyoonyeshwa kwenye sehemu ya utangulizi wa IGA
Pili, Malipo Halali (lawful consideration); Kifungu cha 2(1)(d) cha sheria ya mikataba kinaelezea malipo halali yanaweza kuwa kitu, kitendo au kutotenda jambo fulani kunakotokana na wajibu wa makubaliano kati ya pande mbili.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limeguswa na kifungu cha 9 cha IGA ila hakiko bayana. Aidha kinategemea baada ya matokeo ya jambo ambalo litafanyika ikiwa mambo fulani yatatekelezwa. Hivyo hili takwa halijatekelezwa
Tatu, Uwezo au Mamlaka ya Kuingia Kwenye Mkataba (capacity to contract). Uwezo wa kuingia kwenye mkataba humaanisha mamlaka ya kisheria ya mtu kuingia kwenye mkataba. Mtu mwenye mamlaka ya kisheria kuingia kwenye mkataba lazima awe mwenye umri zaidi ya miaka 18, mwenye akili timamu na mhusika katika mkataba huo.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limetekelezwa na kifungu cha 28 na Kiambatanisho na 2 cha IGA
Nne, Hiyari (free consent). Mkataba wowote lazima ufanyike kwa hiyari kutoka pande zote mbili zenye nia ya kuingia katika mkataba. Mkataba wowote ambao unafanyika pasipo hiyari ya mhusika, hufanya mkataba huo kuwa batili. Uhalali wa mkataba unaweza kubatilishwa kwa mtu kuingia katika mkataba kwa kulazimishwa, vitisho, kudanganywa au kughushi.

Tano, Uhalali wa Jambo (lawful object); Mkataba wowote ni lazima ufanyike juu ya kitu ambacho ni halali kisheria na si kitu ambacho hakiruhusiwi kufanyika kisheria.
Matokeo: Takwa hili limetekelezwa na kifungu C cha utangulizi wa IGA
Matokeo ya kipimo yanaonyesha kuwa kati ya matakwa 5, matakwa 4 yametekelezwa na takwa moja halijatekelezwa. Matokeo haya yanaaksi hoja inayojengwa kwenye mijadala kuwa IGA haionyeshi Tanzania kama sehemu ya maktaba inapata nini. Aidha kwa upande mwingine pia upande wa pili nao hauonekanai bayana unapata nini ikiwa utawekeza. Suala la kugawana kinachopatikana halijaguswa kabisa. Kwa kuzingatia maoni ya wanazuoni na matokeo ya kipimo kwa kutumia vigezo vya mkataba ni bayana kuwa hakuna mkataba.
Mkuu hatujakwana kwa sababu:- hakuna mkataba na mchakato unaendeleaBoss Asante kwa maelezo yako, je kama taifa, tumekwama au hatujakwama!!!
Mkuu.. Emirate Dubai ni nchi?.....na Agreement ya kisheria sio mkataba?Kubaini kama nyaraka ya Inter Governmental Agreement between the United Republic of Tanzania and The Emirate of Dubai Concerning the economic and social partnership for the development and improving performance of sea and lake ports in Tanzania, ni mkataba au si mkataba ni kufanya kipimo cha mkataba.
Kwa mujibu wa maandiko mbalimbali ya taaluma ya sheria, ili nyaraka ya mariadhiano/maeleano/makubaliano iwe mkataba lazima ikidhi vigezo vyote vya mkataba. Kwa mfano hapa Tanzania Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mikataba Sura ya 345 (2002) kinaeleza kuwa, ili mkataba uwe halali kisheria ni lazima uwe na mambo makuu matano:-
Mosi, makubaliano (agreement), mkataba unafanyika kwa pande mbili kukubaliana juu ya jambo fulani. Makubaliano hayo yanaweza kuwa juu ya biashara, kazi au kitu kingine chochote. Kitu cha msingi na cha kuzingatia katika makubaliano hayo ni kwamba, kila mtu anayeingia katika makubaliano hayo lazima awe tayari kuwajibika kisheria kutokana na makubaliano hayo. Kutokuwapo kwa nia ya kuwajibika kisheria kunayafanya makubaliano hayo yasiwe na nguvu ya kisheria kama mikataba mingine ilivyo.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limetekelezwa kama inavyoonyeshwa kwenye sehemu ya utangulizi wa IGA
Pili, Malipo Halali (lawful consideration); Kifungu cha 2(1)(d) cha sheria ya mikataba kinaelezea malipo halali yanaweza kuwa kitu, kitendo au kutotenda jambo fulani kunakotokana na wajibu wa makubaliano kati ya pande mbili.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limeguswa na kifungu cha 9 cha IGA ila hakiko bayana. Aidha kinategemea baada ya matokeo ya jambo ambalo litafanyika ikiwa mambo fulani yatatekelezwa. Hivyo hili takwa halijatekelezwa
Tatu, Uwezo au Mamlaka ya Kuingia Kwenye Mkataba (capacity to contract). Uwezo wa kuingia kwenye mkataba humaanisha mamlaka ya kisheria ya mtu kuingia kwenye mkataba. Mtu mwenye mamlaka ya kisheria kuingia kwenye mkataba lazima awe mwenye umri zaidi ya miaka 18, mwenye akili timamu na mhusika katika mkataba huo.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limetekelezwa na kifungu cha 28 na Kiambatanisho na 2 cha IGA
Nne, Hiyari (free consent). Mkataba wowote lazima ufanyike kwa hiyari kutoka pande zote mbili zenye nia ya kuingia katika mkataba. Mkataba wowote ambao unafanyika pasipo hiyari ya mhusika, hufanya mkataba huo kuwa batili. Uhalali wa mkataba unaweza kubatilishwa kwa mtu kuingia katika mkataba kwa kulazimishwa, vitisho, kudanganywa au kughushi.
Matokeo ya kipimo cha mkataba: Takwa hili limetekelezwa kama inavyoonyeshwa kwenye sehemu ya utangulizi wa IGA
Tano, Uhalali wa Jambo (lawful object); Mkataba wowote ni lazima ufanyike juu ya kitu ambacho ni halali kisheria na si kitu ambacho hakiruhusiwi kufanyika kisheria.
Matokeo: Takwa hili limetekelezwa na kifungu C cha utangulizi wa IGA
Matokeo ya kipimo yanaonyesha kuwa kati ya matakwa 5, matakwa 4 yametekelezwa na takwa moja halijatekelezwa. Matokeo haya yanaaksi hoja inayojengwa kwenye mijadala kuwa IGA haionyeshi Tanzania kama sehemu ya maktaba inapata nini. Aidha kwa upande mwingine pia upande wa pili nao hauonekanai bayana unapata nini ikiwa utawekeza. Suala la kugawana kinachopatikana halijaguswa kabisa. Kwa kuzingatia maoni ya wanazuoni na matokeo ya kipimo kwa kutumia vigezo vya mkataba ni bayana kuwa hakuna mkataba.
Wanaounga mkono hawana hoja hata moja.Baada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili.
Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba.
Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba na kuhitimisha kuwa Tanzania tumepewa wajibu DTW wamepewa manufaa ya mradi
Peter Madeleka mwanasheria: Mkataba umekiuka sheria ya hifadhi ya maliasili ya mwaka 2017, imekiuka katiba yetu kwa vifungu vilivyotajwa pia Dubai haina mamlaka ya kusaini mkataba wa kimataifa.
Wakili Boniface Mwabukusi: Vifungu na 21, 23 na 25 vinavyohusu usuluhishi, ukomo na hauwezi kuvunjwa
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa Tanzania
WANAOTETEA
Waziri mkuu: Mkataba utaongeza ufanisi wa bandari kwenye kupakia na kupakua mizigo na kutuwezesha kushindana na bandari jirani, utaongeza ajira kwa Watanzania
Professor Kitila Mkumbo: Tanzania tutapata sh trillion 26 bila kutaja vifungu vinavyoainisha hivyo kwenye mkataba.
Mwanasheria mkuu wa serikali: Ukomo wa mkataba upo kwenye mikataba ya baadae haya ni makubaliano ya ushirikiano
Spika wa bunge: Huu si mkataba bali makubaliano.
Kamati kuu CCM: Tunaunga mkono uwekezaji wa DTW.
Wewe unasemaje?
we kafanye kazi yako mkataba umeshapita na chama tawala kimeshaubariki nyie mnapoteza muda wenu km mazezetaBaada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili.
Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba.
Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba na kuhitimisha kuwa Tanzania tumepewa wajibu DTW wamepewa manufaa ya mradi
Peter Madeleka mwanasheria: Mkataba umekiuka sheria ya hifadhi ya maliasili ya mwaka 2017, imekiuka katiba yetu kwa vifungu vilivyotajwa pia Dubai haina mamlaka ya kusaini mkataba wa kimataifa.
Wakili Boniface Mwabukusi: Vifungu na 21, 23 na 25 vinavyohusu usuluhishi, ukomo na hauwezi kuvunjwa
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa Tanzania
WANAOTETEA
Waziri mkuu: Mkataba utaongeza ufanisi wa bandari kwenye kupakia na kupakua mizigo na kutuwezesha kushindana na bandari jirani, utaongeza ajira kwa Watanzania
Professor Kitila Mkumbo: Tanzania tutapata sh trillion 26 bila kutaja vifungu vinavyoainisha hivyo kwenye mkataba.
Mwanasheria mkuu wa serikali: Ukomo wa mkataba upo kwenye mikataba ya baadae haya ni makubaliano ya ushirikiano
Spika wa bunge: Huu si mkataba bali makubaliano.
Kamati kuu CCM: Tunaunga mkono uwekezaji wa DTW.
Wewe unasemaje?
Mkuu.. Emirate Dubai ni nchi?.....na Agreement ya kisheria sio mkataba?
Emirate Duba si nchi, ni sehemu ya nchi na hii maana yake hakuna mkataba for lack of capacity. Mjadala unakufanya na wanendelea hatua moja mbele ni DAM-FOOL