Ingekuwa ni tukio la Bar peke yake tungemsikizia shetani kwamba amekupitia lakini umehama mji na bado ukam-entertain akaja alafu tena bado unataka ushauri kutoka kwa wadau, kama ulikuwa humtaki iwaje tena umruhusu akufuate huko uliko
Mwachie chumba na kila kilichomo chumbani kama zawadi kwake. Si alikuwa anakukojolesha siku mlizokaa? Tafuta sehemu nyingine/hama hapo, katafute chumba kwa ajili ya huyo mkeo mtarajiwa.