Tulikotoka

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,970
6aa5e828fcf5b64146a999b0fed790a0.jpg
e224d48de2e9fea69f230bb3c1c2416b.jpg
9fa6e9dfd763df11f60785da4f41a6c3.jpg
748af142c2c6b4522dc3b1adb044cf3d.jpg
 
siku hazigandi mzee technologia nayo inabadilika. enzi hizo usumaku unatumika kutunza kumbukumbu

images
 
hivi maendeleo ya binadamu yatakuja kuwa na mwisho..?
nmeulza hivyo coz naona kila baada ya kitambo fulani mwanadamu anagundua vitu vipya na kuachana na vikukuu.
 
Old is GOLD kiti cha Marimba unakalia mpaka unasahau siku hizi kuna vya Plastiki ukikalia angalia usianguke miguu haikawi kutenguka.
1465402966523.jpg
 
Hapo
ilikua unaizungusha kwa peni halafu unakisia nyimbo unayoipenda iko wapi ndo unaweka,... Duuh hataree
Peni yenyewe ni bik, nakumbuka kuna kanda moja ilitafunwa na redio ,mwanaume nikaifungua nikaanza kuisuka upya mixer kujifungafunga nyuzi. alafu screw zake zilikuwa kama za simu nahisi mafundi simu walipata ujuzi kutoka katika hizi kanda.
 
Back
Top Bottom