naamini and i hope wapo wengine kama mimi kwamba si kwamba mpinzni wake angetoka kambi tofauti bali ndani ya CCM there were other candidates better suited for the job...yaani the mistake was made in the partys selection of a candidatekuchagua CHADEMA akigombea urais nani? au hata CHADEMA ikiweka jiwe tuchague tu?...hata hivyo mimi naomba turejee uchaguzi wa 2005 na haya yaliyotokea ndani ya utawala wa JK....tujiulize, kwakuwa ni kweli JK kachemsha, na tunaamini tulikosea, je tungemchagua nani kati ya washindani wake wale? akina Lipumba, Mbowe, Mvungi, nk?