Kila mara ukisikia maneno "kuhofia kuimbua serikali" au "kuinusuru serikali" inachomaanishwa ni kwamba kulikuwa na tatizo ambalo Raisi wa Nchi anahusika, eidha kwa kukiuka utaratibu au kwa kuhusika na hata ufisadi kupitia watu fulani, na kuliweka wazi ni jambo ambalo lingeletea kuwajibishwa kwa Raisi wa Nchi, au kupigiwa kura ya kukosa imani ma hivyo kufanya hata uchaguzi mpya uitishwe ili kuweka serikali mpya.
Kumwajibisha raisi ni jambo kubwa. Kwanza kunalidharirisha taifa kwa ujumla, na pia kunaleteta kutetereka kwa taifa kiusalama. Hivyo mara nyingine baadhi ya viongozi wanaona ni afadhali wakae kimya kuliko kuweka makosa ya raisi hadharani.
sitachangia mada hii ili kulinda serikali yangu!
Na huu ni usaliti kwa wananchi + nchi! Kama huyo Rais kalikoroga anapaswa kuwajibishwa na sio kulindwa! Tafakari!
Umeunganisha unganisha ili upate ku "propagate" chuki. Unachoshindwa kuelewa kuwa kila waziri anapokula kiapo huwa anaapa kuwa atalinda siri za baraza la mawaziri ambayo ni serikali. Serikali ina siri nyingi sana na usitake kuwaaminisha watu vinginevyo.
sitachangia mada hii ili kulinda serikali yangu!
Umeunganisha unganisha ili upate ku "propagate" chuki. Unachoshindwa kuelewa kuwa kila waziri anapokula kiapo huwa anaapa kuwa atalinda siri za baraza la mawaziri ambayo ni serikali. Serikali ina siri nyingi sana na usitake kuwaaminisha watu vinginevyo.
Siri zipi. hata sijui nisemeje, tungekuwa karibu ningekulamba kofi wewe.
Magamba wataandaa bajeti ya mabilioni ya shilingi ili kuvinunua hivyo vitambulisho vyenu. Njaa ya mtanzania ni faraja kwa magamba.Wazo zuri sana. Wakati ukifika, tunatakiwa tuanze kuhamasisha kwenye familia, jirani, ofisini, jumuia hadi taifa. Halafu tunaringa sana wakati wa kampeni tukiwa na vitambulisho vyetu!
Njoo Livigstone na Mafia, Kariakoo. kuna duka kubwa sana na maarufu linaitwa GGS uliza Zomba Usishindwe tu.
Hata serikali za mataifa makubwa yana siri ambazo zikijulikana zinaweza kuziangusha. Km. Uingereza na Marekani wangekuwa wanatoa idadi kamili ya wanajeshi wao waliokufa katika vita ambavyo havikuwa na umuhimu huko Iraq (kulikotokana na taarifa zisizo sahihi za kiintelejinsia), Afganistan, nk. Au matumizi/manunuzi yo yote ya kijeshi, Nina uhakika hata CDM au CUF au NCCR- zikitwaa madaraka kuna maeneo yatafanyika madudu ambayo yatakuwa ni hatari kwa serikali zao kama yatajulikana wazi. Hata vyama vya siasa vina siri ambazo zikijulikana, wanachama wangekosa imani navyo. HIVI NDIVYO ILIVYO.
Siri zipi. hata sijui nisemeje, tungekuwa karibu ningekulamba kofi wewe.
Dawa hapa tuhamasishe vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kuru endapo likiletwa tukate ngebe za magamba wanavyosema vijana hawapigagi kura maana hawana zile kadi za kupigia kura.