Tuliachana lakini anataka turudiane

Kitendo cha kumpa simu mtu mwingine aongee na wewe ni dharau grade one...KAA NAE MBALI SANA
Hapo ndio nilidhihirisha kuwa sikubahatisha hata nilipokuwa naverify kuwa anamichepuko. Pia hiyo ilinipa nguvu zaidi ya kusema acha aende zake. 100% sitamrudia. Kwa mwonekano nina sura ya upole na ukarimu ila nikisema basi huwa sina mda wa kusikiliza utetezi wowote labda nitafuata tu ushauri wa wachangiaji wa kumblock!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Usiendelee kuumiza moyo wako na huyu. Hajitambui huyu kuhusu kile akitakacho.
Nilishamdelete kabisa moyoni hivyo kwa maisha ya hapa duniani hana nafasi ya kupendwa tena na mimi labda kama kuna maisha mengine zaidi ya hapa duniani!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Tuma no hapa vijana wamsaidie Kama anataka mtoto
Nikifanya hivi ataniona kama niliumia sana au nafanya kulipiza kisasi! Mtu akikuchoka bora kuachana kwa amani na si kutafutiana kero tena! Hivyo sitaki niwe chanzo cha kero kwake kwa sababu tuliachana naye!
Maana kama ni mtoto angetafuta kwa ile michepuko miwili niliyoiachia nafasi. Hata hivyo kwa uzuri wake hawezi kusema hana mwanaume wa kumpatia mtoto.
Huwa sipendi visasi hivyo acha tu nimtunzie heshima yake kwa hilo!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
usiangaike na hawa viumbe mie nina kamoja nilikapenda tukaahidiana kuona kalichonifanyia mungu anajua nikakata shauri nikasonga mbele ,kameachwa kakaja et nakupenda sana ,utoto ulikuwa unanisumbua ,nahitaji kutengeneza familia na wewe,hafadhali weye hata unajibu sms mie ndio kabisa sijibu chochote,hawa viumbe wanajijua wenyewe nafikiri hata aliyewaumba anashangaa
 
Acha kuwasiliana aye.. Japo inaonesha bado una mpenda ila atakuja kukuumiza sana na inavyoonyesha u aweza kuja kupigana au kuuaa mtu juu ya huyu kicheche.
Kaa mbali naye
Upendo uliobakia saiv ni upendo kama ninavyowapenda binadamu wengine tu. Ila ile romantic love haipo kabisa.
Muhimu labda niache mawasiliano naye! Kwa hili nitalifanyia kazi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu fanya u block namba yake tuu
Unajua sisi wanaume ni wadhaifu kwa mademem eeeh. Ifute na ublock kabisa wanawake watu hovyo sana
Ni kweli sometimes wahenga husema hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hapa niblock tu namba ili nae azoee kuwa Mi sio wake tena!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwasiliana aye.. Japo inaonesha bado una mpenda ila atakuja kukuumiza sana na inavyoonyesha u aweza kuja kupigana au kuuaa mtu juu ya huyu kicheche.
Kaa mbali naye
we kweli ni great thinker.. jamaa bado anampenda huyo msichana ila kinachoonekana huyo manzi sio mtuliaji atakuja kumletea majanga makubwa.. ikiwemo kulea watoto sio wake!
 
Pole sana...ila huyo binti hajielewi, pia hongera kwa ustaarabu wako ni wachache wako kama wewe
 
Wanawake wengi wa siku hizi hawapo kimapenzi wana tamaa na mbo oo. Ukimpeda akajua unampenda mala nyingi wanakuwa wajinga akipewa chips na soda baridi basi anaona kapata akisha enda huko kumbe jamaa halina mpango nae linataka kumtumia kwa starehe za mda akikimbiwa mdio anakumbuka aliye msaliti yametukuta wengi sana hayo mpuuze tabia ni kama ngozi haibadiliki akirudi atasahau ataanza Yale yale achana nae
 
Uyo main chick unamuelewa au ulivyo fika hatua ya kumtongoza ulimtaman kama yupo moyon mrudie ila kama ndio ametoka moyon matapish hayarudiw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…