GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo

Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa waliyonayo kwake na zaidi kumchagua kwa kura nyingi katika kura za maoni za ndani ya Ccm

Dkt Tulia amemaliza muda wake kama mbunge wa jimbo la mbeya mjini na sasa anagombea katika jimbo la uyole baada ya jimbo hilo kugawanywa na kupatikana jimbo la uyole na jimbo la mbeya mjini ambako Ccm Imemteua Patrick Mwalunenge Kupeperusha bendera ya chama hicho katika jimbo hilo

 
Back
Top Bottom