Hahahaaa Mpwa mbona unaadimika hivyo kama speech za kila mwezi za kaka Alfani??? Mzima lakini wewe?
Mpwa si unajua majukumu halafu Cathode Rays anaoa sasa sijui ni barabara ya nane au chumbageni au makorora unayo taarifa nzuri ?
How much per hour,per day?
Mpwa si unajua majukumu halafu Cathode Rays anaoa sasa sijui ni barabara ya nane au chumbageni au makorora unayo taarifa nzuri ?
Nimemuomba Card kakaa kimya, subiri kesho naelekea Tanga nitakua Nyumbani Hotel, lazima nimtafute kwa udi na uvumba
"Astaghfirullah" means "I seek Allah's forgiveness"Mwanaume wa kweli hutumia DUME badae hutumia ARVs
Laki si pesa
hahahahah shehe kafika hapo kapiga hadi allah wakbar...duh:becky:
Poa. Lakini ndio hivyo picha za uchi zipo. nitumie email tu nitakurushia zote au niziweke hapa hadharani?