FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,094
- 1,358
Nakumbuka miaka hiyo, Kijana machachari,tena mwendo mdundo, utaniambia nini kuhusu Zeezle,Seanjon,Phat Fam, Fubu, Lagz, Adidas, Timberland, Hb nk..
Leo nmekutana na uyu dada,nimejikuta nacheka Sana,nimekumbuka mbali Sana,hakika ujana Ni maji ya Moto kweli.. Story nzima iko hivi...
Iyo siku nipo zangu home,nimenunua vocha kwa simu ya maza ILA sina WA kumpigia,wazo likanijia fasta niende kwa mwanang Rashid anipatie japo namba mbili za madem. (Jamaa alikuwa na kadaftari ka namba za madem Tu)
Nimeludi zangu home,nkaanza kutest zali kwa mtoto Enjo,basi mrembo hakuwa na maswali meng sijui namb yang umeitoa wap km waulizavyo madem WA siku hizi,basi mnyamwezii uyooooooo nkajitupia bring bring hadi iyoo mitaa tulopanga kukutania..
Nimefika pale mtoto kapendelea twende bar flan pasipo kujua mi n fukara ninayeficha ufukara Wang kwa mavaz Tu,yani sina kitu mfukon...
Nafika mrembo anaanze oooh,weita niletee Soda na chips,sijakaa sawa Mara best ake uyuu apa,chips zikawa mbili,soda mbili,mi apo nawachora Tu,basiii mnyamwez ileee shaaaaa,nkatokomea kwnye mataaaa,nani anataka fedhea!!! Kah
Bahati nzuri ile nafika home Tu nakutana na b mkubwa ,nampga mznga ananielewa,nalud fasta nakuta waremboo macho yamewatoka ad chips wamebakiza,et ulkuwa wapi, najbu kwa kujiamn maza aliniita hom Mara moja,mbona hamli..?? Hahahaha wangejua..
Najua hali hii imetukuta wengi Tu, wanaume kukimbia,na wadada kukimbiwa..
KWAKO MKUU ILIKUWAJE..