MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 667
- 743
Story ilio niacha hoi ni billnas na nandy ile pichu ya ndani ilikuwa size ngapi?Habari za celeb nilikuwa nazifatilia kitambo hiko...... Kupitia ijumaa weekenda aseeh mara diamond hivi, mara huyu vile, wema kipindi hiko ndo superstar kweli yaani hakuwa na mpinzani
Ukigeuka huku wema aitwa msagaji, kina jackline wolper,
Mara yaliyojiri bilcanas sehemu pendwa jijini dar, insta ilikuja kumaliza kila kitu aseeh......
By then nyumbn magazeti ya ijumaa weekenda na mwananchi ndo nilikuwa nayafatilia sana huwezi amini hii Leo gazeti hata siwezi kuwa na mood ya kulisoma
Nifah Mwachiluwi
Sikumbuk vzr lkn jiji hili tumetoka mbali 😂😂Story ilio niacha hoi ni billnas na nandy ile pichu ya ndani ilikuwa size ngapi?
Mitandao inatunzaSikumbuk vzr lkn jiji hili tumetoka mbali 😂😂
Of course ile ilikuwa 2017/18 sii ndiyo au nakosea ?Mitandao inatunza
Story ilio niacha hoi ni billnas na nandy ile pichu ya ndani ilikuwa size ngapi?
zaHii stori nayo inaelekeana na miaka anayozungumzia mleta uzi kweli?
Manake Nandy na ile chupi ni 2018/2019 hapo
Alivyoorodhesha mleta mada binafsi najua jua kuhusu Dudu baya hao wengine sikumbuki vizuri
ni kama sasa hivi tu watu wanavyojazana kwenye page ya MangeWatu walikuwa wananunua gazeti la Ijumaa, Amani na Uwazi wasome hadithi za kijinga za Shigongo
hii si juzi tu mkuu🤣Story ilio niacha hoi ni billnas na nandy ile pichu ya ndani ilikuwa size ngapi?
Ndio ila nikakumbuka tu nikaweka kama mengineyohii si juzi tu mkuu🤣
by the way ilikua ni enzi za mwisho mwisho kwa utawala wa magazeti ya shigongoNdio ila nikakumbuka tu nikaweka kama mengineyo
Lakini ile sijui size gani aseby the way ilikua ni enzi za mwisho mwisho kwa utawala wa magazeti ya shigongo
huku pia walikuepo kina Ruge na Kusaga wakisumbua na fiesta yao, bila kumsahau mkurugenzi wa ASET mama Asha baraka, kule uncle Hashimu Lundengawatu wanamtaja Diamond kwel jaman, Dayamond si wa juzi tu, nakumbuka gazeti la picha ya Mariamu Odemba akiwa miss Tanzania nililipamba geto, hizo hizo ukiingia geto kwa msela chumba kimepambwa magazeti, redio spika imechomolewa imewekwa kwenye ndoo ili upate mdundo mwanana, enzi hizo mtangazaji aliyevuma yule wa ITV kwenye kipindi cha ukimwi ni huu mpaka akachukua tuzo ya mama Africa naye ni Beatrice Mkwasa ilipofika kwenye utawala wa JK akapewa ukuu wa wilaya.
Enzi hizo wagosi wa Kaya wanasumbua na vibao kama wauguzi, Walimu tuna hali ngumu, huku Bwana misosi anasema nitoke vipi, huku sister P ft Alichok wakisema wanachonga sana juu yangu, dah ukija kwenye sanaa huku kaole wanasumbua balaa, unamkuta Kanumba, Ray akina Monalisa, Dr chen
Aisha baraka na Twanga pepeta yake, mara huku Ndada kosovo, Waziri sonyo, Muumini Mwinjuma, Alichoki walisumbua sana,huku pia walikuepo kina Ruge na Kusaga wakisumbua na fiesta yao, bila kumsahau mkurugenzi wa ASET mama Asha baraka, kule uncle Hashimu Lundenga
enzi hizo muziki wa dansi wa moto sana, mimi mpaka leo ninasikiliza nyimbo za wakati huo, time flies mkuuAisha baraka na Twanga pepeta yake, mara huku Ndada kosovo, Waziri sonyo, Muumini Mwinjuma, Alichoki walisumbua sana,