sasa unabishana na correctionSio kweli
Kwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan
2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza
3. Blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee
3. Kuna bend nimeisahau jina ilikuwa ina paform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom
Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
Boss hapo kwa Brandon Lee siyo Mdogo wake rekebisha ni mtoto wake kama nimekosea nisahihisheKwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan
2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza
3. Blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee
3. Kuna bend nimeisahau jina ilikuwa ina paform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom
Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
Nilikosea hapo.ni kweli mtoto wakeBoss hapo kwa Brandon Lee siyo Mdogo wake rekebisha ni mtoto wake kama nimekosea nisahihishe
duuuuyDaudi balali alikufa akiwa gavana