mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
The good the bad and ugly
Mkuu hiyo sinema naipenda sana
Yani wewe jamaa umeandika majina yale yaleeeee kama tulivyokuwa tukiziita kijijini kwetu Lugoba....Tulikuwa tunaangalia kwa Haridi Salehe....Long time kitamboanodi la jini
anodi la jeni
dame na bolo yanki
phantoom soja
dame na shagashugi
mniga analiwa na mamba
deme na alex
taichii
dame na tompoo
watoto 7
paranawee (mark dakasikosi)
Drive(mark dakasikosi)
alex zandaluu na mzee igo
kasamende
chakoda
doni yeni mateke matatu
sarafina
rambo
dame marasta
striki comando(kamoni waveteeee)
red scopion
dame na doph(sikukuu ITV ndo picha lao)
jeki sheni na masta mchaafu(mzee wa kaliinya)
jumanji
mtoto kevi(home aloni)
dame anatoroka jeshini
mkuu we umetokea familia bora mambo ya my mamy and dady,school bus, europe, shopping.....poor you unajiona specialAhsante mleta uzi, kwa kutuletea uzi unaotuonyesha member gani ni watu wa kawaida.
Sobibo, papilon, andha kanoon, loha, war bus, commando, robowar,