Wakuu kuna miziki natafuta video au auio zake lakini tatizo sikumbuki majina ya bendi.
Kuna kundi moja na west africa lilipiga muziki huku waadada wakikata mauno kwenye maji. Anyekumbuko ule muziki uliitwaje au lile kundi lilitwaje anifahamishe tafadhali.