hivi Jana Mbowe alipewa nini na mchaga mwenzake (IGP)? Au ndo kutosana na kutoana kafara mabomu na vitu vya incha kali vikianza kutumika?:rockon:Hivi Gazeti la Mwanahalisi liko wapi?
Naye Dr.ulimboka amehamia nchi gani?
Hivi mgomo wa walimu lini?
Na mafisadi wa EPA watanyongwa lini?
Hivi unakumbuka mbunge analipwa posho kiasi gani kwa siku?
Unakumbuka bunge liliamuru bwana jairo na philimon Luhanjo wafukuzwe kazi iliishia wapi?
Unakumbuka mazishi ya Balali yalivyokuwa?
Je unakumbuka kifo cha mwandishi wa habari Daudi mwangosi?
Hivi sakata la Richmond,Dowans linaendaje?
Hivi twiga walioibiwa na wageni wamerudishwa?
Tafakari tusiwe wepesi wa kusahau jamani, sisi ndio wajenga nchi.
Nisaidieni majibu hayo yote yameishia hewani
jibu maswali usikimbie mjadala kwa upuuzi wako na akili mgando.hivi magaidi wanatoka chama gani, wapojela gani.slaa amejikopesha bei gan.
Anatishia kujamba wakati anaharisha!hivi Jana Mbowe alipewa nini na mchaga mwenzake (IGP)? Au ndo kutosana na kutoana kafara mabomu na vitu vya incha kali vikianza kutumika?:rockon:
Kubenea, Kibanda, Mwangozi, Imran Kombe, Wafanya biashara ya madini wa Mahenge, Ulimboka, J.K Nyerere, Sokoine, Kigoma Malima, Abdul Jumbe, Kolimba, Mwakyembe, Mtambuzi, Mwanahalisi, MOTOMOTO (gazeti a.k.a Loliondo kuuzwa, OIC), etc....

Stanley Katabalo.....gazeti la mfanyakazi