Elimu ni ufunguo wa maisha - shule ya msingi niliyosoma mimi na mtu fulani ambaye NI LAZIMA kila mtumia JF anamfahamu.
Education with discipline and unity- O level
Creativity, responsibility & obedience- A level.
Hahaha hyo bond ya tambaza na zanaki kwa jina la TAMBAZANA ulikuwa ni ufuska kwendraaa mbele hasa kwnye haya matamsha ya pasaka....ila muda umepita aisee daah kweli muda ni ukuta

Sikumbuki kitu huwezi amini 😀😀 nakumbuka tu kale ka wimbo...
Jitegemee sec school I love you
.
.
This school belong to me, this school belong to you, this school belong to us sijui nini kinaendelea tena