Tukumbushane: Mchumba hasomeshwi

Kuna mambo yanasikitisha sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Mkuu msomeshe mchumba kama unatoa msaada kwa mwanamke yeyote yule.


Maana kumuelimisha mwanamke sawa na kuelimisha kizazi kijacho.
 
Ila jamani hakuna pesa tamu kama ya mwanaume wanawake hapa mtajishebedua tu etii oooh msichukue sijui nini kiuhalisia mnazitaka sana pesa za wanaume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…