Duh hongera kiongozi...mi kifaransa niliachana nacho primary...Spanish nilijifunza kidogo nikaletewa comprehension yake ikanichomoa....Sahivi nategemea English tu ambayo hata hivyo sipo perfect...
Kifaransa nilitamani kujifunza lakni nikajisahau nikajifunza lugha ambayo dunia mzima inazungumzwa nchi tatu. Na sio official kabisa yaani lugha ya Wolof.