ingekuwa vizuri pia tungeambiwa hizo kata zilikuwa chini ya chama gani kwa mfano mi najua kata nyasura huko bunda na kiboriloni moshi(Chadema) sombetini,arusha ilikuwa ccm, nyingine sijui
MSAFARA WA ZITTO WAZOMEWA NA WANANCHI WA KATA YA MKONGORO KIGOMA..
MSAFARA WA MASHIRIKA YA UMMA JANA ULISHUHUDIA PICHA YA BURE YA ZOMEA ZOMEA ALIYO IPATA MBUNGE KIPENZI CHA WANA KIGOMA ZZK AKIZOMEWA NA WANACNHI WAKE, MSAFARA HUO ULIOKUWA UMETOKEA MWAMBAO WA MAZIWA KUTOKEA BURUNDI KUPITIA MANYOVU. WALIPOPITA ENEO LA MKUTANO WA KAPENI ZA UDIWANI KATA YA MKONGORO, JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI NDIPO AIBU YA MWAKA ILIPO MFIKA MBUNGE HUYO WA MAHAKAMA.
CHANZO NI YEYE ZITTO ALIPOSHUSHA KIOO NA KUWAPUNGIA MKONO WANANCHI NDIPO KULILIPUKA MAKELELE NA ZOMEA ZOMEA, HUKU WAKIIMBA ~ZITTO,,CCM,CCM,CCM.....~ZITTO,, CCM,CCM,CCM.. ZITTO ALISHINDWA KUAMINI MACHO NA MASIKIO YAKE NA KUBAKI AMEDUWAA,,, KWA AIBU ALIPANDISHA KIOO NA KUTOKOMEA .. hiyo ni jana,,kigoma ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.