amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 May 8, 2013 #41 Bujibuji said: amu kumbe na mimi niko kwenye list list ya wakandamizaji wako!! Click to expand... bujiiiiiiiiiiiiiiiiii unataka nidundwe???
Bujibuji said: amu kumbe na mimi niko kwenye list list ya wakandamizaji wako!! Click to expand... bujiiiiiiiiiiiiiiiiii unataka nidundwe???
bensog26 Senior Member Joined Feb 21, 2013 Posts 159 Reaction score 23 May 9, 2013 #42 kapistrano said: Hahahah mdundiko ni noma sn hasa mitaa ya mikoroshini temeke watoto wng walikuwa wanapote kwa kufutilia msafara wa mdundiko. Click to expand... maisha ya Nyerere hayo kaptura ina midabwada chupi hatuvai hapo kwenye mdundiko ni dungadunga mpaka tunapotea majumba sita (ukonga) mpaka tandika kaburi moja
kapistrano said: Hahahah mdundiko ni noma sn hasa mitaa ya mikoroshini temeke watoto wng walikuwa wanapote kwa kufutilia msafara wa mdundiko. Click to expand... maisha ya Nyerere hayo kaptura ina midabwada chupi hatuvai hapo kwenye mdundiko ni dungadunga mpaka tunapotea majumba sita (ukonga) mpaka tandika kaburi moja