Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,674
...huu ni utamaduni wa Wazaramo!
Kwetu kanda ya ziwa...
Tujuze mlivyo kuwa mnafanya wakati huo...
...huu ni utamaduni wa Wazaramo!
Kwetu kanda ya ziwa...
Tujuze mlivyo kuwa mnafanya wakati huo...
ha ha ha ha Ruttashobolwa nitakualika mmoja jumamosi bro anaoa so lazima tukaoe na mdundiko i will:A S 101: eeee
Ruttashobolwa umeadimika kama ziwa la nyoka
Ruttashobolwa umeadimika kama ziwa la nyoka
Enzi hizo mdundiko ukipita hata mtaa wa sita utalikisia tu timbili lake.
Mama anaacha sufuria jikoni anajitosa kwenye mdundiko.
Baba alikuwa chooni anakata gogo , kutokana na utamu wa mdundiko anatoka nduki kuufuata mdundiklo huku suari ikiwa magotini na mkononi ana kata ya kuchambia.
Watoto ndio usiseme, ukija kushtuka uko Gongo la Mboto wakati kwenu Tegeta.
Jamani mdundiko ulikuwa una raha yake. Nimezimiss sana zile zama za magoma moto ya MDUNDIKO

yeye anakaa tegeta sijui boko mdundiko atausikia wapi jamaniii?
aje huku kwetu aone wapi tunavyoburudika tukikupongeza ukiolewa lazima tukuletee na mdundiko, tukikualika shughuli lazima tuutembeze mdundiko nyumba hadi nyumba tukigombana na kufuta urafiki lazima nikuletee mmdundiko nikukuomba umama wa hiyariii lazima nikuletee mdundiko usiombe unichimbe maana nitakuchamba kwa matarumbeta
...huu ni utamaduni wa Wazaramo!
Kwetu kanda ya ziwa...
Tujuze mlivyo kuwa mnafanya wakati huo...
full kuunguza mboga na watoto kupotea.hahahahahaha alaf wake za watu wanatoroka nyumba zao wana kimbilia mdundiko alaf kinacho nishangaza watu huwa hawachoki.
full kuunguza mboga na watoto kupotea.
Nakumbuka nliunguza maharage kisa kuusindikiza mdundiko kupeleka sanduku weeee nlichezeaje kichapo nliporudi home
Tulivyokuwa wadogo mdundiko ukipita tunafungiwa ili tusipotee
cc: Mtambuzi