halafu kuna ile ringi ya tairi si hii ya chuma,ile ya mpira halafu unafungia kwenye kijiti na kamba
weweeeeee,inaitwa changanya,,,hizo enzi 1981,,,1987,,kule ngulu kwakoa,wilayani mwanga kilimanjaro,,,,,inapigwa toka kiverenge hadi mabashula kwendakula ,,mkongea,,manyata,kw varisingi,,,yaan it was good time,,nchi ni green chakula tele,,mito inatiriika maji hata kiboghosho na machakinda na kivisin nyuma ya kandaru,,,,,