Tukumbuke kidogo: Ulimfanyia makubwa mpenzi wako lakini bado akakupiga chini

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
766
1,287
Greetings.

Baada ya kuona vijana wengi wakilia katika mapenzi na kujiona hawana bahati kabisa ya mapenzi " Huku wakisumbuliwa na U.M.D- Ukosefu wa mapenzi ya dhati" basi nimekuja kuwaokoa na Uzi huu kwa namna ya tofauti kidogo.

Uzi huu utahusisha visa na story za jinsi ulivyomsaidia au kumfanyia mambo makubwa huyo mpenzi lakini bado hakutambua ulichokifanya na kukupiga chini " Kukupiga kibuti" kama tulivyopenda kulitumia miaka ile.

Nikianza na mtoa mada:

E bwana me nilikutana na girl mmoja aliyekuwa na tabia za ki- Tom boy, sorry huyu alikuwa ni Tom boy kabisa. Basi mazoea kidogo tu akaomba tuanze kudate, Na kwa kuwa wanaume tunajua maumivu ya kukataliwa, basi nikamkubalia huyu toto na kuendelea kumgegeda.

Jukumu langu basi ikawa nikumfanya huyu mwanamke achange kutoka mambo yake ya kiume, ili awe na sifa za kike kama wanawake wengine warembo ( Nilivaa hili jukumu kwa kuwa aliniomba na akawa ana nisikiliza kwa kila kitu na kuamini naweza mbadilisha).

Kutokana na njaa njaa zangu za kipindi hicho vijisent kidogo vilikuwa vinanitoka ili kumtengeneza huyu girl kuanzia tabia hadi muonekano kabisa.

Basi soon, Baada ya kuanza kupata sifa mtaani amechange na kuwa mwanamke mrembo na kuwa sifa zote za kike huku me nikipiga kifua kuwa huyu ni Wife material niliyemjenga katika principle zangu yeye akaniletea maringo na kunikataa kwa neno - * Baba sikutaki tena* - akaenda zake!

Kijana unayeona kama hauna bahati ya mapenzi sasa, You are not alone bali tulikuwepo na maisha yakaendelea.

Dondosha kisa chako hapo, Vijana wajengeke kipsychologia kuwa haya mambo yanatokea na maisha inabidi yaendelee.
 
Kukaa na kujadili namna ulivyo achwa ni matumizi mabaya ya Akili. Ukiwa na pesa hutowaza kwanini niliachwa! Tafuta hela uta enjoy maisha. Sijawahi kuona tajiri analalamikia mapenzi.
 
Mkuu huu uzi wako umenitoa machozi. Acha kabisa!!! Sitaki kukumbuka yaliyopita japo nimejaribu kusahau ila bado nashindwa. Kwasasa nipo kwenye mchakato wa kulipa kisasi, tena kisasi kikubwa haswa na baada ya hapo nahisi nafsi yangu ndo itaridhika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app

Pole sana Mkuu.

Ila kulipa kisasi si jambo zuri mkuu, maana unaweza kuta linakuweka pabaya. Mfano, Katika mikono ya sheria.

Kikubwa share tukio lako, huku tukiamini kadri unavyotoa lile la moyoni nje( kuliongea kwa watu) basi hapo hata hasira juu ya lile jambo hupungua. Kuliko ukabaki nalo mkuu litakutesa sana.
 
Kukaa na kujadili namna ulivyo achwa ni matumizi mabaya ya Akili. Ukiwa na pesa hutowaza kwanini niliachwa! Tafuta hela uta enjoy maisha. Sijawahi kuona tajiri analalamikia mapenzi.

Ukiona una nukuu haya maneno basi huna pesa wewe.

Hata sisi|wao Matajiri au wenye pesa bado wana feeling na hisia za kimapenzi.

Japo, Ukiwa maskini unaumizwa na Mengi Sana.
 
Hata wale mliokuwa mnaamini sex ni kuzama chumvini, Mlikesha sana Chumvini na bado mkapigwa chini

Naamini mpo.
 
muda mwingine unaweza kumpata demu mrembo ukazani umeula kumbe umeliwa kimasikhara kabisa....

siku moja nilienda beach kuogelea, mimi ni mpenzi sana wa kuogelea pengine kuliko kitu chochote, umahili wangu wa kuogelea naweza kusema umenipatia marafiki wengi mmno.

siku hiyo kama kawaida nilienda beach, nikawa naogelea pale coco beach {msasani} kutokana na umahili wangu wa kuogelea nina uwezo wa kuogelea umbali mrefu bila utegemezi wa kitu chochote...sasa siku hiyo nipo umbali wa kina kirefu kuna wasichana watatu walikuwa wanaogelea kwenye maboya {tube ya gari} kwa kuwaangalia wote nikagundua kuwa licha ya kuwa wapo kwenye kina kirefu lakini kati ya hao hapakuwepo ata mmoja aliyekuwa anajua kuogelea, kwa kifupi wote walikuwa awajui kabisa kuogelea walikuwa wanategemea yale maboya,

huwa sina kawaida kabisa ya kuogelea karibu na watu wasiojua kuogelea kwani licha ya kuwa najua kuogelea ila sina kabisa uwezo wa kumuokoa mtu mwingine pindi itakapo tokea dhoruba baharini hivyo ujanja pekee niliokuwa nao ni wa kujiokoa mwenyewe tu. huwa naepuka sana kuogelea karibu na watu wasio jua kuogelea kwasababu mara kadhaa nimeshanusurika kuzama kutokana na kusababishiwa madhwira na hao ambao awajui kuogelea.

JINSI NILIVYO KUTANA NA WARIDI
sasa mmoja wa hao mabinti alikuwa anaitwa WARIDI binti mrembo mwenye weusi waasili, alivutiwa sana na jinsi nilivyokuwa naogelea, akaonyesha dalili ambayo kwa mwanaume yeyote lijari asingesita kumfuata, kiukweli ndoano ya WARIDI siku hiyo ilinivua nikawa mateka rasmi wa WARIDI.

nilikuja kugundua kuwa waridi alikuwa anapenda sana kuogelea lakini hakuwa anaweza kuogelea na alikuwa anajifunza kwa hali na mali kuogelea. hivyo alijisogeza tukawa tunaogelea wote tukaenda mbali zaidi yeye akiwa kwenye boya la kuogelea mimi nikiwa naogelea bila boya. waridi alikuwa anajifunza kuogelea kwaajili fulani ambayo nilikuja kuigundua hapo baadae.

kipindi tunaogelea nilimuomba waridi namba za simu, mule mule ndani ya maji, waridi alistaajabu sana kwa kuwa mule baharini hatukuwa na simu, alinitajia na mimi niliikariri, kipindi hicho nilikuwa sijasongwa na madhiraa ya walimwengu na ulimwengu hivyo nilikuwa na uwezo wa kukariri hata namba ishirini za simu za watu tofauti tofauti.

hivyo ndivyo nilivyo fanya kwa namba za waridi, nili zikariri kisha tukawa tuna wasiriana kama marafiki wa kawaida. hadi urafiki wetu ulivyo nawiri ukawa urafiki wa kutembeleana mpaka nyumbani, ule nadhani ulikuwa ndio uraafiki waswahili wanao uita wa kupika na kupakua. WARIDI alikuwa anakuja nyumbani anapika tunakula.

PENZI LILIVYO ZALIWA.

baadae nilikuja kugundua kuwa WARIDI alikuwa anasoma pale DIT, na mimi nilikuwa nasoma pale CBE {akiba} hivyo ikawa nikiwa chuo chakula cha mchana naenda kula chuoni kwa kina WARIDI pale DIT kwa mnao pafaham mtakuwa mmeshauona ukaribu uliopo baina ya hii vyuo hivi viwili.

1614968566172.png

TO SHORTEN THE STORY

nilikuwa nina mkopo wa bodi ya wanafunzi, lakini WARIDI hakuwa na mkopo hivyo alikuwa anasoma kwa shida kwakuwa nilikuwa nampenda, nilikuwa natumia nae mkopo wangu, nilimlipia ada ya chuo na vile vile WARIDI alikuwa ananitegemea mimi kwa kila kitu, kwakuwa nilikuwa nampenda siku choka kabisa kumsaidia kwa kadri ya uwezo wangu.

kutokana na kozi ya waridi kuwa na soko kwenye ajira kipindi hicho alipo maliza tu chuo alibahatika kuajiliwa mgodini kama eng wa umeme wa mitambo.

hapo ndipo baraa lilipo anza kujitokeza waridi alianza kunidharau, mawasiliano baina yangu mimi na yeye yakapungua hadi kuisha kabisa.

hapo ndipo nilipo kuja kugundua kuwa WARIDI alikuwa anajifunza kuogelea kwasababu alikuwa kwenye maumivu ya mapenzi hivyo alikuwa anapunguza mawazo. WARIDI aliutumia udhaifu wangu ili alipize kisasi kama alivyo umizwa.

sijutii kabisa kukutana na WARIDI japo niliumia sana lakini namshukuru kwa kunipa funzo....ukipenda penda kwa akili usitumie moyo...na kabla hujaamua kumuhonga mwanamke piga kwanza PUNYETO mara tatu ukiona bado moyo wa kumuonga huyo mwanamke bado unao hata baada ya kupiga nyeto basi kiroho safi wewe muhonge tu....​
 
View attachment 1718208

Pole sana chief haya mambo ya kuachwa haya usiombee binsfs nateseka na msumivu yangu moyon japo nililipa kisasi kwakutembea na mama yake mzazi ili na yeye aumie zaidii
 
Kukaa na kujadili namna ulivyo achwa ni matumizi mabaya ya Akili. Ukiwa na pesa hutowaza kwanini niliachwa! Tafuta hela uta enjoy maisha. Sijawahi kuona tajiri analalamikia mapenzi.
Hiyo akili yenyewe ya kutumia vibaya kwanza unayo?
 
Kikubwa nilichomfanyia ni kumtoa bikira iliyomkaa kwa takribani miaka 24, baadae akanitupa kule ili apate uzoefu na utamu alojuta kuchelewa!
 
muda mwingine unaweza kumpata demu mrembo ukazani umeula kumbe umeliwa kimasikhara kabisa....

siku moja nilienda beach kuogelea, mimi ni mpenzi sana wa kuogelea pengine kuliko kitu chochote, umahili wangu wa kuogelea naweza kusema umenipatia marafiki wengi mmno.

siku hiyo kama kawaida nilienda beach, nikawa naogelea pale coco beach {msasani} kutokana na umahili wangu wa kuogelea nina uwezo wa kuogelea umbali mrefu bila utegemezi wa kitu chochote...sasa siku hiyo nipo umbali wa kina kirefu kuna wasichana watatu walikuwa wanaogelea kwenye maboya {tube ya gari} kwa kuwaangalia wote nikagundua kuwa licha ya kuwa wapo kwenye kina kirefu lakini kati ya hao hapakuwepo ata mmoja aliyekuwa anajua kuogelea, kwa kifupi wote walikuwa awajui kabisa kuogelea walikuwa wanategemea yale maboya,

huwa sina kawaida kabisa ya kuogelea karibu na watu wasiojua kuogelea kwani licha ya kuwa najua kuogelea ila sina kabisa uwezo wa kumuokoa mtu mwingine pindi itakapo tokea dhoruba baharini hivyo ujanja pekee niliokuwa nao ni wa kujiokoa mwenyewe tu. huwa naepuka sana kuogelea karibu na watu wasio jua kuogelea kwasababu mara kadhaa nimeshanusurika kuzama kutokana na kusababishiwa madhwira na hao ambao awajui kuogelea.

JINSI NILIVYO KUTANA NA WARIDI
sasa mmoja wa hao mabinti alikuwa anaitwa WARIDI binti mrembo mwenye weusi waasili, alivutiwa sana na jinsi nilivyokuwa naogelea, akaonyesha dalili ambayo kwa mwanaume yeyote lijari asingesita kumfuata, kiukweli ndoano ya WARIDI siku hiyo ilinivua nikawa mateka rasmi wa WARIDI.

nilikuja kugundua kuwa waridi alikuwa anapenda sana kuogelea lakini hakuwa anaweza kuogelea na alikuwa anajifunza kwa hali na mali kuogelea. hivyo alijisogeza tukawa tunaogelea wote tukaenda mbali zaidi yeye akiwa kwenye boya la kuogelea mimi nikiwa naogelea bila boya. waridi alikuwa anajifunza kuogelea kwaajili fulani ambayo nilikuja kuigundua hapo baadae.

kipindi tunaogelea nilimuomba waridi namba za simu, mule mule ndani ya maji, waridi alistaajabu sana kwa kuwa mule baharini hatukuwa na simu, alinitajia na mimi niliikariri, kipindi hicho nilikuwa sijasongwa na madhiraa ya walimwengu na ulimwengu hivyo nilikuwa na uwezo wa kukariri hata namba ishirini za simu za watu tofauti tofauti.

hivyo ndivyo nilivyo fanya kwa namba za waridi, nili zikariri kisha tukawa tuna wasiriana kama marafiki wa kawaida. hadi urafiki wetu ulivyo nawiri ukawa urafiki wa kutembeleana mpaka nyumbani, ule nadhani ulikuwa ndio uraafiki waswahili wanao uita wa kupika na kupakua. WARIDI alikuwa anakuja nyumbani anapika tunakula.

PENZI LILIVYO ZALIWA.

baadae nilikuja kugundua kuwa WARIDI alikuwa anasoma pale DIT, na mimi nilikuwa nasoma pale CBE {akiba} hivyo ikawa nikiwa chuo chakula cha mchana naenda kula chuoni kwa kina WARIDI pale DIT kwa mnao pafaham mtakuwa mmeshauona ukaribu uliopo baina ya hii vyuo hivi viwili.

View attachment 1718208
TO SHORTEN THE STORY

nilikuwa nina mkopo wa bodi ya wanafunzi, lakini WARIDI hakuwa na mkopo hivyo alikuwa anasoma kwa shida kwakuwa nilikuwa nampenda, nilikuwa natumia nae mkopo wangu, nilimlipia ada ya chuo na vile vile WARIDI alikuwa ananitegemea mimi kwa kila kitu, kwakuwa nilikuwa nampenda siku choka kabisa kumsaidia kwa kadri ya uwezo wangu.

kutokana na kozi ya waridi kuwa na soko kwenye ajira kipindi hicho alipo maliza tu chuo alibahatika kuajiliwa mgodini kama eng wa umeme wa mitambo.

hapo ndipo baraa lilipo anza kujitokeza waridi alianza kunidharau, mawasiliano baina yangu mimi na yeye yakapungua hadi kuisha kabisa.

hapo ndipo nilipo kuja kugundua kuwa WARIDI alikuwa anajifunza kuogelea kwasababu alikuwa kwenye maumivu ya mapenzi hivyo alikuwa anapunguza mawazo. WARIDI aliutumia udhaifu wangu ili alipize kisasi kama alivyo umizwa.

sijutii kabisa kukutana na WARIDI japo niliumia sana lakini namshukuru kwa kunipa funzo....ukipenda penda kwa akili usitumie moyo...na kabla hujaamua kumuhonga mwanamke piga kwanza PUNYETO mara tatu ukiona bado moyo wa kumuonga huyo mwanamke bado unao hata baada ya kupiga nyeto basi kiroho safi wewe muhonge tu....​
Mkuu, tatizo vijana manakiuka misingi ya waasisi wenu! Nasisitiza tena, "KUMSOMESHA MPENZI NI SAWA N kUMWAGILIA BUSTANI YA JIRANI".
 
Back
Top Bottom