Tukubali!Kuna watu wameumbwa na kuumbika...!!!

Nimekaa china,australia, south afrika,norwei,canada,swideni na vietnam hakika mwanamke mrembo,mzuri,mnofu,na mwenye tabia kama ya bikiramali nilikuja kumpata mitaa ya mbezi beach hapa tena wa handeni tanga! Yani ni kisu hasa mpka sometime huwa natembea na bastola kwakuhofia wakware! Hakuna mwanake mzuri kama mke wangu!!
 
Wengine watatembea hata na kifaru ila kuwazuia wakware ni kama kuvunja nondo kwa kioo,wajipe moyo watashinda
 
Sio lazima wote kuwa na mtizamo unaofanana ila maelezo ya mtoa thread yako wazi watu wanajishebedua oh mke wa yule,oh nini cjui wakati kimoyomoyo wanajua ukweli.wivu wa kijiiinga.isitoshe wengine wake zao mapori kama polygons.kuchangia ruksa
 
kaumbika si mchezo.Nikijifananisha naye ntaanza kujihisi mimi sio mwanamke

Acha hizoo. Weka picha yako nifananishe. Inawezekana kabisa wewe ukawa mzuri kuliko huyu kwa muktadha wa macho na mtazamo wangu.
 
unanifanya nikunje shingo ili kumdeku


kama vip weka pic nyingine

hiyo hapo kajiandaa sana anaweza akawa galasa
 
Kuna watu huwa wanapinga kila kitu,nataka niwaone watakao kosoa uumbaji huu wa muumba.Kwa mambo binafsi ya ndani hatujui ila kwa uzuri wa nje,sura nzuri,muonekano bomba, urembo halisia,kiuno cha nyigu,pozi n.k nadhani hakuna wa kupinga kwamba mdada kaumbika...!!labda chuki binafsi tu.Weka maksi
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p>View attachment 25623</o:p>

she is cute
 
Hana uzuri wowote huyo,, rangi tu hiyo mtu wangu. Usibabaike sana na rangi kwani rangi ingekuwa mali, basi mdudu nduza asingeshuka chini

Wivu na roho mbaya ya ubaguzi tu, kwani rangi imehusiana nini na uzuri wa mtu? Kuna watu weusi tiiiii nao ukiwaona tuu unajua hapa kiumbe ameumbika, na wengine weupeeee lakini wabaya wa kutupwa!
 
kweli mzuri haki yake apewe ila kama ulivyosema amshukuru mungu kwa kuwa mwema na tabia njema
 
Uzuri wa mwili ni wa muda bali uzuri wa tabia mtu huzeeka nayo. Atumie uzuri wake kumpendezesha mwanadamu na Mungu. Akitekeleza haya basi atakuwa amepata maksi 100%.
 
Hawa kule kwetu Nzega wapo wa kumwaga, tembelea Nzega ukutane na vitu japo maisha yamewapiga konzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom