AUGUSTINO CHIWINGA
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 222
- 695
Chiwinga njaa imekuwa kali? Mbona unakurupuka ghafla na kuanza kumfagilia Magufuli? Naona umekusanya yote ya watangulizi na kumrundikia mteuzi wa sasa, kwa mwenendo wake nawe unaweza ukafanikiwa.Na;
Augustino Chiwinga
Mtama-Lindi
0659438889.
Napenda niungane na wale wanaodhani huenda labda Rais Magufuli akawa ameshatawala miaka 7 mpaka sasa kutokana na kasi yake ya kuleta maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Hali ya nchi iko vizuri, huu ni mwaka wa 3 sijasikia Mkoa au Wilaya iliyopata baa la njaa.Wananchi wameiitikia kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu kwa vitendo kwa kufanya kazi kwa juhudi na Kupata milo yao kila siku.
Rais Magufuli kupitia ilani ya utekelezaji ya CCM (2015-2020) ameziboresha sekta zote zinazogusa maisha ya kila ya Mtanzania kuanzia wakulima, wafugaji mpaka wafanyabiashara wadogo wadogo ambao hivi sasa wanaendelea kupatiwa vitambulisho nchi nzima.
Tumeshawazoea wapinzani wao ni kupinga kila kitu hata pale mambo mazuri yanapofanyika katika maeneo yao wao watapinga tu, utadhania wana ugonjwa wa kupinga pinga.
Siasa ni vitendo na maendeleo na sio maneno matupu na porojo, na ndio maana Rais Magufuli anapofanya mambo makubwa utawasikia wanasema ni hizo ni kodi zetu lakini hata siku moja hutowasikia wakiwahamasisha wananchi walipe kodi.
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
Mtama- Lindi
0659438889
Ndio umeishiapo au bandiko lako bado linaendelea mkuuNa;

1945 baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa na siasa gani iliyoleta njaa? Mwaka 1974-75 tulipata njaa kali nchini sababu ya ukame tena je kuna siasa ilisababisha mvua zisinyeshe?Na;