Kama Ibrah Traore anajiamini aitishe uchaguzi huru nchini kwake aache kupiga dana dana uchaguzi.Amerika ilimuua MUAMMAR GADDAFI na kuiharibu LIBYA ambayo sasa haijulikani tena namna ya kupona. Sasa, wanataka kumfuata nahodha wetu, IBRAHIM TRAORE JULIUS MALEMA
Kama jambo lolote likimtokea IBRAHIM TRAORE basi ni kwa sababu sisi vijana wa Afrika tumemwangusha* kwa kushindwa kuchukua hatua ipasavyo wakati ilihitajika.
Tunahitaji kusimama naye bila masharti na bila kuchoka kwa sababu akitokea kushindwa inaweza kuchukua takribani miaka mingine hamsini kumpata tena mzalendo mwenye maono kama yake kuongoza harakati za ukombozi wa Afrika!
Kabla ya kuja hao wazungu, MuAfrika alijulia wapi hio mifumo dhalimu, na toka wametuachia haijatupeleka kokote bado tupo kulekule acha tujaribu njia nyingine, kwa sasa apatikane mtu tu akae mpaka kifo ndo aje mwengine, hizi demokrasia za wazungu wanazitumia tu kama upenyo kutuwekea vibaraka waoKama Ibrah Traore anajiamini aitishe uchaguzi huru nchini kwake aache kupiga dana dana uchaguzi.
Kwanini una mpinga traore mkuu.. maoni yako ni niniKumbe hadi humu pana mazombi ya Traore
Traore amefanya nini cha ajabu mkuuKwanini una mpinga traore mkuu.. maoni yako ni nini
Ahaaa haaaaaIbrah Traore in Mwamposa wa siasa za Africa
Tulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.Traore amefanya nini cha ajabu mkuu
Chukua dodoki maneno matupu hayatoshiTulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.
Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.
Swali la jamaa ni jepesi sana , waafrikq mnaeza mpena mtu kisa hapatani na mtu fulani bilq kujali kama anatimiza wajibu wakeTulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.
Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.
Aiseeee!!!Tulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.
Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.