Tukiwaambia jeshi la Israel lina mkono mrefu muwe mnaelewa!

Hii ndio ile Hezbollah aliyokuwa anatishia nayo bibi FaizaFoxy humu kwamba ni moto akirejea battle ya miaka gani sijui!

Mlipuko wa zile pagers ilikuwa ishara ya wazi kwamba kazi imeisha na ikawa confirmed baada ya gaidi mkuu Nasrallah kurudishwa kuzimu. Kinachoendelea ni safisha safisha tu.
 
Binafsi nawatafuta sana wafurukutwa wa magaidi hao tujibizane kwa hoja maana walikuwa wanawasifia sana magaidi wa Hezbollah lakini walipoingia kwenye 18 za IDF walilia kilio cha Mbwa-kachoka
 
Back
Top Bottom