Tukiwa na Katiba nzuri, yeyote anafaa kutuongoza!

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,604
Huu ndiyo ukweli ninaoujua mimi. Kama taifa Hutu, tukipata Katiba bora, basi yeyote anafaa kutuongoza, na tukiwa na Katiba mbaya yeyote hatatufaa!

Tukiwanayo nzuri, yeyote anaweza kusifiwa, na tukiwa na mbaya yeyote anaweza kulaumiwa.
Kwenye kuitekereza mbaya, yeyote atafanya atakavyo, na kwenye nzuri yeyote hafanyi atakavyo

Na kumbe siyo wao kama tunavyoaminishwa sasa, bali ni Katiba inayowafinyanga hivyo.

Nje uwezo wa Uungu, Katiba mbovu hatawapatia kiongozi bora. Mnachoweza kufanya ni kumtoa afadhari na kuweka nafuu.
Ndiyo maana tulishaona huyu akiweka msingi huu ila akitoka, mwenzake huundoa na kuanza mwingine mpya.
 
Hahahahahahhhhh... Wanaongoza n watu, siyo makaratasi yenye maandshi. Waingereza hawana Katiba ktk maandshi, US ndo wenye Katiba ya hovyo duniani; South Africa, Kenya, Korea Kaskazini ndo wenye Katiba nzuri balaaa... Ebu, niambie nchi hizo zinaongozwaje?
 
Ni kweli kiongozi fulani akibainika ni Chizi inakuwa From State Hose to Milembe.
Hapo sasa Mkuu wa mkoa kama namuona analia huku kawakumbatia mshekhe na mapadre mpaka kunakuchwa.na wapambe macho nyanya,huku kitalee sasa tunakesha kwenywe kigodoro.tukinywa konyagi mwitu halafu mimi nagawa fuso iliyojaa Super glue kwa wale wenzangu wapinzani wa kweli ili kwa ajili ya ya chuki ya CCM huwa wanakimbilia nyuma wanapozidiwa ati ndio stail ya Mourinho anapozidiwa wachezaji wote hurudi nyuma.
 
Huu ndiyo ukweli ninaoujua mimi. Kama taifa Hutu, tukipata Katiba bora, basi yeyote anafaa kutuongoza, na tukiwa na Katiba mbaya yeyote hatatufaa!

Tukiwanayo nzuri, yeyote anaweza kusifiwa, na tukiwa na mbaya yeyote anaweza kulaumiwa.
Kwenye kuitekereza mbaya, yeyote atafanya atakavyo, na kwenye nzuri yeyote hafanyi atakavyo

Na kumbe siyo wao kama tunavyoaminishwa sasa, bali ni Katiba inayowafinyanga hivyo.

Nje uwezo wa Uungu, Katiba mbovu hatawapatia kiongozi bora. Mnachoweza kufanya ni kumtoa afadhari na kuweka nafuu.
Ndiyo maana tulishaona huyu akiweka msingi huu ila akitoka, mwenzake huundoa na kuanza mwingine mpya.
Kenya tuliyoiona ni nzuri nawao wanataka kurekebisha,sasa sijui case study yetu itakuwa wapi tena
 
Magufuli anafaa Upper cut moja tu uchaguzi umekwisha.ili akawapige mashangazi wa Chato vizuri.
mike-tyson-uppercut-knockout.gif
 
Hahahahahahhhhh... Wanaongoza n watu, siyo makaratasi yenye maandshi. Waingereza hawana Katiba ktk maandshi, US ndo wenye Katiba ya hovyo duniani; South Africa, Kenya, Korea Kaskazini ndo wenye Katiba nzuri balaaa... Ebu, niambie nchi hizo zinaongozwaje?

Usitake kuleta upotoshaji ili kuonyesha muhimu ni mtu na sio katiba. Tuambie katiba ya US ni mbovu kwa kigezo kipi? Unaweza ukafananisha katiba ya Kenya na hii yetu hata utendaji? Unafaidika na huu utawala wa sasa, hivyo unajitahidi kupinga katiba mpya ya rasimu ya Warioba. Tunataka katiba mpya, tuone kama haitotekelezwa. Mnaoipinga ndio mnaoongoza hii teka teka na kupiga wengine risasi kisa hawawasujudii.
 
Kenya tuliyoiona ni nzuri nawao wanataka kurekebisha,sasa sijui case study yetu itakuwa wapi tena

Usitumie neno kurekebisha ili kupotezesha mantiki, wanataka kuiboresha iwe nzuri zaidi. Huwezi fananisha na hii yetu iliyoandikwa na watu wachache waliokuwa wanamsujudia Nyerere.
 
😀😀😀😀😀si ilikuwa bora sana ya kuigwa Mkuu?? Hakuna cha kuwa bora wala nn wanasiasa wanajitejngenezea vyeo tu
 
Huu ndiyo ukweli ninaoujua mimi. Kama taifa Hutu, tukipata Katiba bora, basi yeyote anafaa kutuongoza, na tukiwa na Katiba mbaya yeyote hatatufaa!

Tukiwanayo nzuri, yeyote anaweza kusifiwa, na tukiwa na mbaya yeyote anaweza kulaumiwa.
Kwenye kuitekereza mbaya, yeyote atafanya atakavyo, na kwenye nzuri yeyote hafanyi atakavyo

Na kumbe siyo wao kama tunavyoaminishwa sasa, bali ni Katiba inayowafinyanga hivyo.

Nje uwezo wa Uungu, Katiba mbovu hatawapatia kiongozi bora. Mnachoweza kufanya ni kumtoa afadhari na kuweka nafuu.
Ndiyo maana tulishaona huyu akiweka msingi huu ila akitoka, mwenzake huundoa na kuanza mwingine mpya.
Hata ikiwa nzuri vpi kama anae ongoza hajamua kuifuata,huwez kuaona umuhimu wa hyo katiba.Uongoz ni hekima ukiwa nayo hat bila hayo mandish unaeza ukaongoza vyema
 
Maneno yako ni ya kweli tupu. Mbaya zaidi wandaaji nin anasiasa ambao ktk vyama vyao wamezisigina ili waendelee kuongoza. Hata mkiibadilisha Ikwa nzuri Kiasi gani, hata ukiiamisha ya USA na kuileta Bongo bila usimamizi imara haitafaa kitu. Nature ya Ngozi nyeusi ni uroho wa madaraka na kukandamiza wengine.
 
Tunawalaumu wao maana wao ndio wanauwezo wa kuanzisha,kuusimamia na kuukamilisha mchakato mzima wa katiba mpya
 
Usitake kuleta upotoshaji ili kuonyesha muhimu ni mtu na sio katiba. Tuambie katiba ya US ni mbovu kwa kigezo kipi? Unaweza ukafananisha katiba ya Kenya na hii yetu hata utendaji? Unafaidika na huu utawala wa sasa, hivyo unajitahidi kupinga katiba mpya ya rasimu ya Warioba. Tunataka katiba mpya, tuone kama haitotekelezwa. Mnaoipinga ndio mnaoongoza hii teka teka na kupiga wengine risasi kisa hawawasujudii.
Hahahhh. Mnataka uhuru wa Tume ya Uchaguzi, US wao hata hiyo Tume hawana kabisaaa. Ss angalau tunayo. Majaji wa mahakama ktk majimbo US wanachaguliwa kwa kura, wanafanya kampeni...na wanahukumu kisiasa, angalia Kavanaugh wa Supreme Court alivyopatikana. Wako vibaya sana, mfumo wao n hovyo.

Pointi yangu n kuwa "watu" n muhm kuliko maneno kwenye makaratasi. Kenya wana Katiba nzr sana kwenye makaratasi, lakn angalia utekekezaji wake... Mahakama hukumu zake hazitekelezwi, majimbo kila Siku wanarushiana mawe na viti, na wanataka kubadlsha
 
Katiba mpya hatuwezi kuikwepa binadamu amepewe uwezo na Mwenyezi Mungu hivyo vema kujiongeza badala ya kukaa na kubweteka mfumo wa katiba tunaotumia aulingani na wakati wa sasa nchi yenye watu 55m.Ebu tuchukuwe mfano wa Kenya Mwai Kibaki alikubariana na wenzake akiingia madarakani atabadilisha katiba ya Kenya.iliyokuwa inaganganiwa na Raisi Moi.Lakini Kibaki alipoingia alifuraiya kubaki na katiba ya zamani kwa kuwa ilikuwa inamupa madaraka makubwa kama ya mfalme yaani excessive powers kama ya kuteuwa viongozi wa miimili 3 halafu na ku fire if necessary.Wenzake wakina Uhuru Kenyatta,Rutto,Odinga,Mudavadi walimulalamikia sana kitendo chake cha ku suspend mazungumuzo ya katiba ya BOMAS.Yaliyotokea tuliyaona ya machafuko badae wakenya waliendelea na mchakato mpaka hatimaye wakapata katiba mpya.We should learn from History .Hata kama tutahamua kurudi siasa za ujamaa na kujitegemea pawepo na referandum ya wananchi wote wa Tanzania .
 
Hahahhh. Mnataka uhuru wa Tume ya Uchaguzi, US wao hata hiyo Tume hawana kabisaaa. Ss angalau tunayo. Majaji wa mahakama ktk majimbo US wanachaguliwa kwa kura, wanafanya kampeni...na wanahukumu kisiasa, angalia Kavanaugh wa Supreme Court alivyopatikana. Wako vibaya sana, mfumo wao n hovyo.

Pointi yangu n kuwa "watu" n muhm kuliko maneno kwenye makaratasi. Kenya wana Katiba nzr sana kwenye makaratasi, lakn angalia utekekezaji wake... Mahakama hukumu zake hazitekelezwi, majimbo kila Siku wanarushiana mawe na viti, na wanataka kubadlsha

Katiba ya US ni mbovu kiasi hicho lakini 80% ya uchaguzi wake uko vizuri. Sisi wenye katiba nzuri kuliko wao rais ndio anateua tume ya uchaguzi na matokeo yanatangazwa kwa utashi wa rais!!
 
Katiba ya US ni mbovu kiasi hicho lakini 80% ya uchaguzi wake uko vizuri. Sisi wenye katiba nzuri kuliko wao rais ndio anateua tume ya uchaguzi na matokeo yanatangazwa kwa utashi wa rais!! Uza ubongo huo maana kukaa nao ni hasara
Matokeo ya urais yakiishatangazwa hakuna kuhoji.
 
Don't argue with a fool, people might not notice the difference...

Ww ni futuhi. Kacheze na wajukuu hapa unatekenya kinyago tu. Unadhani ukiongea kiingereza cha kijijini ndio utapandisha hadhi yako?
 
Hata ikiwa nzuri vpi kama anae ongoza hajamua kuifuata,huwez kuaona umuhimu wa hyo katiba.Uongoz ni hekima ukiwa nayo hat bila hayo mandish unaeza ukaongoza vyema
Lakini waonaje wewe kama Katiba yetu ingeliruhusu rais kuwajibishwa unadhani mikataba yote mibovu ingelikuwepo kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom